• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Divisheni
      • Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Mahesabu
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Fukwe na Visiwa
    • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
    • Matukio ya Utalii
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Ujasiriamali
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba ya Meya
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Iliyopangwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma
    • Fomu za maombi
    • Vibali vya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Habari

TehamaOld

TEHAMA NA UHUSIANO:

Kitengo cha Teknolojia ya Habari Mawasiliano na Uhusiano (TEHAMA) kinajumuisha Sehemu mbili ambazo ni: -

1. Habari na Mahusiano

2. Teknolojia ya Habari na Mawasiliano.


IDADI YA WATUMISHI

Kitengo kina jumla ya watumishi 10 kama ifuatavyo: -

  • Maafisa Habari wanne (4)
  • Maafisa TEHAMA sita (6)


SEHEMU YA HABARI NA MAHUSIANO:

Katika Sehemu ya Habari na Mahusiano, kazi zinazotekelezwa ni pamoja na:-

  1. Kusimamia sera, mikakati na miongozo inayotolewa  na Serikali kuu juu ya uendeshaji wa kazi za habari na mahusiano
  2. Kutoa ushauri wa kitaalam na huduma kwa taasisi katika nyanja za upashaji taarifa, mawasiliano na elimu kwa umma
  3. Kuandaa mpango, bajeti, mpango kazi na mpango mkakati wa kutekeleza kazi za uhusiano katika Halmashauri
  4. Kutangaza kazi na miradi inayofanyika katika Halmashauri
  5. Kutangaza maeneo ya uwekezaji ya Halmashauri  katika tovuti, redio, majarida na njia nyinginezo za mawasilano
  6. Kuhakikisha tovuti ya Halmashauri ina taarifa mpya kila wakati pamoja na wasifu wa Halmashauri
  7. Kuandaa na kutoa habari za Halmashauri katika machapisho
  8. Kumshauri Mkurugenzi juu ya mambo yanayohusiana na mawasilano, utoaji wa taarifa na uelimishaji kwa umma juu ya majukumu yanayotekelezwa na Halmashauri  ili kuimarisha mahusiano ya ndani na nje ya taasisi
  9. Kushiriki katika mijadala ya jamii kuhusu masuala ya Halmashauri
  10. Kutumia TEHAMA katika kutoa elimu kwa jamii
  11. Kusimamia "press briefing" za Halmashauri
  12. Kuishauri Halmashauri juu ya uandaaji, uzalishaji na usambazaji wa nyaraka kwa wadau mbalimbali
  13. Kutayarisha na kusambaza taarifa mbalimbali kupitia vipeperushi na makala kwenye vyombo vya habari kwa lengo la kuhamasisha na kuelimisha  jamii juu ya majukumu ya taasisi


TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO:

  1. Kutoa msaada wa kiufundi kwa watumiaji wa mfumo mbalimbali ya TEHAMA ikiwemo MUSE, LGRCIS, LAWSON, GoT-HOMIS, Planrep, FFARS, TANePS n.k.
  2. Marekebisho na matengenezo ya vifaa vya TEHAMA (Kompyuta, PoS,  Printers na Scanners)
  3. Kuboresa daftari la kielektoniki lenye kuonesha idadi na hali ya vifaa vyote vya TEHAMA. “General Inventory”
  4. Uboreshaji wa mapato kwa kutumia mifumo ya kielektoniki ya ukusanyaji mapato pamoja na vifaa vyake "Point of Sales" (PoS)
  5. Kurekebisha hitilafu zozote za mtandao wa kompyuta
  6. Kuandaa “Specifications” za vifaa  na mifumo ya TEHAMA
  7. Kurekebisha miundombinu ya mtandao wa mawasiliano.

Matangazo

  • PONGEZI June 07, 2023
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA May 19, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI-DEREVA DARAJA II April 24, 2023
  • MABADILIKO YA SIKU YA MAFUNZO YA WASIMAMIZI WA MAUDHUI, WASIMAMIZI WA TEHAMA NA MAKARANI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 July 28, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • AFISA ELIMU MSINGI KINONDONI APONGEZWA

    May 19, 2023
  • JAPAN YAIPATIA MSAADA MZIMUNI SEKONDARI

    March 15, 2023
  • VIKUNDI VYAASWA MATUMIZI SAHIHI YA MIKOPO

    February 18, 2023
  • "HAKUNA TIMU KUBWA ZAIDI YA KMC FC"

    February 18, 2023
  • Tazama zote

Picha Jongefu

VITUO VITANO VYA MSAADA WA MFUMO WA TAUSI, KITUO CHA MIITO YA SIMU KUBORESHA UKUSANYAJI WA MAPATO
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MWONGOZO WA NAMNA YA KUTUMIA MFUMO WA TAUSI
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • TARATIBU ZA KUPATA KIBALI CHA UJENZI
  • TAARIFA KWA UMMA
  • RATIBA YA MSTAHIKI MEYA
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255 22 2170173

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.