Tarehe iliyowekwa: March 22nd, 2024
Zoezi la Ardhi Kliniki lililoongezwa muda wa wiki moja kuanzia Machi 16 hadi 22, 2024 ndani ya Manispaa ya Kinondoni, limefungwa rasmi Machi 22, 2024
Licha ya Wananchi kuipongeza Manispaa ya ...
Tarehe iliyowekwa: March 21st, 2024
Jamii imetakiwa kuepukana na migororo ya kifamilia ambayo ndiyo chanzo kikubwa cha watoto kuingia mitaani na kufanyiwa vitendo vya kikatili.
Hayo yameelezwa Machi 21, 2024 na Afisa Ustawi wa Jamii ...
Tarehe iliyowekwa: March 21st, 2024
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mheshimiwa Dorothy Onesphoro Gwajima akata keki Kinondoni katika Siku yake ya kuzaliwa Machi 21, 2024.
...