Tarehe iliyowekwa: April 22nd, 2024
Viongozi wa dini Wilaya ya Kinondoni wameitaka jamii kuulinda na kuutunza Muungano sambamba na kutoa elimu kwa Vijana, ili kuendelea kuwaenzi waasisi wa muungano huo.
Waliyasema hayo Aprili 2...
Tarehe iliyowekwa: April 22nd, 2024
"Katika maadhimisho ya Muungano, tunapaswa kuutetea, kuulinda, kuusimamia na kuupigania kwani vingi vimefanyika ndani ya miaka 60." Mheshimiwa Josephat Rwegasira, Naibu Meya, Manispaa ya Kinondoni.
...
Tarehe iliyowekwa: April 22nd, 2024
"Tunapozungumza miaka 60 ya Muungano ni muda mrefu sana. Kuna mambo mengi mazuri ya kiuchumi, kisiasa na kijamii yamefanyika kutokana na uwepo wa Muungano huu. Ni muda muafaka sasa kwa Viongozi wetu w...