Tarehe iliyowekwa: April 26th, 2024
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Bi. Hanifa Suleiman Hamza, amewataka wakazi wa Kinondoni waliopo kwenye maeneo hatarishi kuchukua tahadhari dhidi ya mvua zinazoendelea kunyesha.
...
Tarehe iliyowekwa: April 25th, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema uimara wa Muungano wetu unategemea uwepo wa vijana imara na wenye uchungu na Taifa lao.
Rais Dkt. Samia ameyasema...
Tarehe iliyowekwa: April 25th, 2024
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imeungana na Watanzania kote nchini kusikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkesha wa miaka 60 ya Muungan...