Tarehe iliyowekwa: April 27th, 2024
Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni amewataka Wataalamu wa Afya kutoka Manispaa ya Kinondoni kuweka dawa maeneo hayo ili kujikinga na magonjwa ya mlipuko hasa kipindupindu.
Maagizo hayo yametolewa ...
Tarehe iliyowekwa: April 27th, 2024
Mkurugenzi Manispaa ya Kinondoni Bi. Hanifa Suleiman Hamza akisikiliza kero kutoka kwa Wazee wa Kata ya Ndugumbi wakati wa ziara yake ya kutembea maeneo yaliyo athirika na mvua Aprili 27, 2024.
...
Tarehe iliyowekwa: April 27th, 2024
Mkurugenzi Manispaa ya Kinondoni Bi. Hanifa Suleiman Hamza akiwasikiliza Wakazi wa Jaba Kata ya Kigogo kero yao ya njia. Amewaahidi kwa kushirikiana na Wataalamu anakwenda kufanyia kazi swala hilo har...