Tarehe iliyowekwa: August 17th, 2024
Wazazi kutoka Kata ya Ndugumbi wamefanya kikao kilicholenga kujadili masuala ya lishe na mmomonyoko wa maadili kwa Wanafunzi wa Shule ya Msingi Ndugumbi na Shule ya Msingi Mwalimu Nyerere.
...
Tarehe iliyowekwa: August 16th, 2024
Mapema leo kwenye Baraza la Madiwani, Mkurugenzi wa Manispaa ya kinondoni amekabidhi tuzo hizo kwa Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Mhe, Songoro Mnyonge na Baraza lake la Madiwani na kuwapongez...
Tarehe iliyowekwa: August 16th, 2024
Mkurugenzi Mtendaji wa DCB Bank, Sabasaba Mushinji, awaomba Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kudumisha na kuendeleza umoja baina yao na benki hiyo. Mkurugenzi huyo aliyasema hayo...