Tarehe iliyowekwa: August 6th, 2017
Hayo yalikuwa maneno ya Katibu tawala Mkoa wa Dar Es Salaam Bi Theresia Mmbando, alipozuru katika banda la Kinondoni kwenye maonesho ya Nane nane yanayoendelea Mkoani Morogoro viwanja vya Tungi....
Tarehe iliyowekwa: August 5th, 2017
Waziri wa maji na Umwagiliaji Eng Gerson Lwenge (MB) ameonesha kufurahishwa na maziwa yanayotokana na Mbuzi aina ya Saanen kwa kuwa na uwezo mkubwa wa kutibu magonjwa mbalimbali ...