Tarehe iliyowekwa: August 31st, 2024
Wananchi na wadau wa Mazingira Wilaya ya Kinondoni wajitokeza kufanya usafi wa mwisho wa mwezi katika Zahanati ya Kijitonyama Agosti 31, 2024.
...
Tarehe iliyowekwa: August 26th, 2024
Naibu Meya wa Manispaa ya Kinondoni ambae pia ni Diwani wa Kata ya Kunduchi Mheshimiwa Michael Urio amefanya ziara kwenye mradi wa ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Abbas Tarimba Agosti 26, 2024 sambamb...
Tarehe iliyowekwa: August 24th, 2024
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imeipongeza Manispaa ya Kinondoni kwa usimamizi mzuri wa miradi ya maendeleo inayoeendana na thamani ya fedha zilizotengwa kwenye miradi hiyo.
...