Tarehe iliyowekwa: December 12th, 2019
Kamati ya siasa ya Chama Cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Kinondoni jana imefanya ziara ya kutembelea na kukagua miradi sita iliyopo katika Kata tano kati ya kata 20 zilizopo katika Halmashauri hiyo.
...
Tarehe iliyowekwa: December 14th, 2019
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Mhe. Benjamini Sita amevipongeza vyama vya ushirika vilivyopo katika Halmashauri hiyo kwa kujitolea vifaa vya Hospitali katika Kituo Cha Afya cha...
Tarehe iliyowekwa: December 12th, 2019
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Daniel Chongolo amesema kuwa katika kutatua changamoto ya kupata soko la uhakika la bidhaa za ngozi, Wilaya hiyo imejipanga kuwatafutia maeneo wazalishaji wa ndani amb...