Tarehe iliyowekwa: December 17th, 2020
Kamati ya Fedha na Uongozi chini ya Mwenyekiti wake Mstahiki Meya Mhe.Songoro Mnyonge ambaye pia ni diwani wa Kata ya Mwananyamala leo wamefanya ziara ya ukaguzi wa Miradi.
Kamati hiyo imefanikiwa ...
Tarehe iliyowekwa: December 16th, 2020
NI KWA LENGO LA KUBADILISHANA UZOEFU KATIKA UTEKELEZAJI WA MKOPO WA ASILIMIA KUMI
Manispaa ya Kinondoni imepokea ujumbe wa watu watano kutoka Halmashauri ya Jiji la Arusha kwa lengo la kubadilishan...
Tarehe iliyowekwa: December 14th, 2020
Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar Es salaam Mhe.Abubakar Kunenge leo alipofanya ziara ya ukaguzi wa kiwanda cha kuchakata taka kilichopo Kata ya Mabwepande Manispaa ya Kinondoni.
Amesema...