Tarehe iliyowekwa: August 18th, 2021
Wilaya ya Kinondoni imeungana na Jiji la Dar es Salaam pamoja na Wilaya tatu za Mkoa wa Dar es Salaam kuupokea Mwenge wa Uhuru kutokea Mkoa wa Pwani.
Akiupokea Mwenge huo kutoka Mkoa wa Pwani, ...
Tarehe iliyowekwa: August 18th, 2021
Mstahiki Meya Manispaa ya Kinondoni Mhe. Songoro Mnyonge leo ameweka jiwe la msingi katika soko la Bwawani lililopo Kata ya Mwananyamala.
Akiweka jiwe hilo la msingi Meya Songoro amesema S...
Tarehe iliyowekwa: August 3rd, 2021
Maeneo hayo yametangazwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe.Godwin Gondwe alipokuwa katika ziara yake ya kikazi ya ukaguzi wa miradi ya upanuzi wa barabara inayosimamiwa na Tanroads kwa lengo la kujir...