Tarehe iliyowekwa: September 26th, 2022
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imezindua rasmi utambuzi, usajili na ufuatiliaji wa mifugo kwa kutumia hereni za kielekitroniki katika mtaa wa Ada Estate, Kata ya Kinondoni leo Jumatatu Septembea...
Tarehe iliyowekwa: September 7th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mheshimiwa Godwin Gondwe amewataka wadau wote ufukwe wa Coco beach kuimarisha ulinzi na usalama na kukomesha kabisa vitendo vya ubakaji na udhalilishaji katika eneo hilo.
...
Tarehe iliyowekwa: September 1st, 2022
Katibu Tawala wa Wilaya ya Kinondoni Bi. Stella Msofe amewataka wazazi/walezi kutoa ushirikiano katika kampeni ya utoaji chanjo ya matone ya polio kwa watoto iliyoanza Septemba mosi mpaka Septemba 4, ...