Tarehe iliyowekwa: January 14th, 2023
Afisa Elimu Msingi wa Manispaa ya Kinondoni, Bi.Theresia Kyara, leo ametiliana saini mikataba ya utendaji kazi na Maafisa Elimu Kata, Walimu Wakuu na Watumishi wa Idara ya Elimu Msingi.
Utiaji ...
Tarehe iliyowekwa: December 16th, 2022
Wataalamu wa timu za utekelezaji wa mradi wa kuboresha elimu ya awali na msingi "BOOST" kutoka mikoa minne ya Dar es Salaam, Dodoma, Morogoro na Pwani wamepewa mafunzo ya uelewa wa afua nane muhimu za...
Tarehe iliyowekwa: December 15th, 2022
Manispaa ya Kinondoni ina ziada ya vyumba vya madarasa 27 kwa ajili ya kuwapokea wanafunzi 14,825 ambao wamefaulu mtihani wa kuingia kidato cha kwanza kwa mwaka 2022.
Mkurugenzi wa Manisp...