Tarehe iliyowekwa: December 1st, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mheshimiwa Godwin Gondwe, amewataka watoa chanjo ya Polio na watunza takwimu, kuandika takwimu sahihi badala ya kughushi.
Wito huo ameutoa leo wakati akizindua kamp...
Tarehe iliyowekwa: November 30th, 2022
WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Mheshimiwa Dorothy Gwajima, amewataka wazazi na walezi kuzungumza mara kwa mara na watoto wao ili kubaini iwapo wanafanyiwa vitendo vya udhalilishaji.
Waziri Gwaji...
Tarehe iliyowekwa: November 30th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mheshimiwa Godwin Gondwe, ameziagiza shule zote za binafsi wilayani Kinondoni kuwa na wasindikizaji wa kike ndani ya magari ya kubeba wanafunzi.
Agizo hilo amelitoa...