Tarehe iliyowekwa: March 15th, 2023
Shule ya Sekondari Mzimuni ya Manispaa ya Kinondoni, imepata msaada wa shilingi za Kitanzania milioni 227 sawa na Dola za Kimarekani 98,258 kwa ajili ya uboreshaji mazingira.
Msaada huo ulioshuhudi...
Tarehe iliyowekwa: February 18th, 2023
VIKUNDI 115 vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu vimeaswa kutumia vizuri mikopo ya asilimia kumi inayotolewa na Manispaa ya Kinondoni kwa ajili ya kukuza uchumi, kuongeza kipato na kutengeneza a...
Tarehe iliyowekwa: February 18th, 2023
Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, Bi. Hanifa Suleiman Hamza, amewatoa hofu wachezaji wa KMC FC kuwa hakuna timu ya soka kubwa zaidi yao.
Bi. Hanifa ameyasema hayo alipokutana na baadhi ya viongo...