Tarehe iliyowekwa: February 2nd, 2023
Baraza la Madiwani la Manispaa ya Kinondoni, le katika Kikao Maalum limepitisha bajeti ya Shilingi za Kitanzania 135,891,778,000.00 ikiwa ni bajeti ya mwaka wa fedha 2023/2024.
Bajeti hiyo ina ...
Tarehe iliyowekwa: January 31st, 2023
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imetoa mkopo zaidi ya shilingi bilioni 2.5 kwa vikundi 115 vya wajasiriamali ili kuwawezesha wananchi wake kujikwamua kiuchumi na kuboresha maisha yao.
Mkopo hu...
Tarehe iliyowekwa: January 28th, 2023
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imetoa rai kwa wafanyabiashara ndani ya Manispaa hiyo kurudi kwenye maeneo yaliyopangwa na yanayotambulika na Manispaa hiyo kibiashara.
Rai hiyo imetolewa leo t...