Tarehe iliyowekwa: July 16th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Saad Mtambule amezindua rasmi zoezi la upimaji wa afya bure kwa wananchi wa Wilaya ya Kinondoni.
Zoezi hilo la upimaji wa afya bure limezinduliwa leo Julai 16, ...
Tarehe iliyowekwa: July 11th, 2023
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni yapongezwa kwa kasi nzuri ya utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa vyumba vya madarasa kupitia mradi wa BOOST na SEQUIP ambayo ni matokeo ya usimamizi mzuri na shirik...
Tarehe iliyowekwa: July 10th, 2023
Wananchi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni wametakiwa kutumia fursa ya mikopo ya asilimia 10 itolewayo na Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kwa usahihi ili kubadilisha maisha yao.
Hayo...