Tarehe iliyowekwa: October 7th, 2023
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kupitia Divisheni ya Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe imetoa mafunzo na ushauri wa lishe sambamba na huduma jumuishi za afya ikiwemo upimaji wa presh...
Tarehe iliyowekwa: October 6th, 2023
Wajumbe wa Kamati ya Mkuu wa Wilaya ya utatuzi wa migogoro ya ardhi wakiendelea na utatuzi wa changamoto za migogoro ya ardhi katika Kata mbalimbali za Manispaa ya Kinondoni.
...
Tarehe iliyowekwa: October 6th, 2023
Idara ya Maendeleo ya Jamii kupitia dawati la maendeleo ya mtoto Manispaa ya Kinondoni wamefanya mafunzo juu ya usalama wa mtoto shuleni na nje ya shule ili kumlinda mtoto dhidi ya ukatili ...