Tarehe iliyowekwa: October 5th, 2023
Klabu ya Michezo ya Mwembechai Fittness Club, leo imefanya bonanza la mbio pole kwa ajili ya kuchangia damu na kadi za bima ya afya.
Uchangiaji kupitia bonanza hilo, lililohudhuriwa na Mbunge wa Ji...
Tarehe iliyowekwa: October 2nd, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila amewataka wachimbaji wa mchanga katika bonde la mto Mpiji kufuata Kanuni na Sheria za uhifadhi wa Mito zilizowekwa.
Mhe. Chalamila ameyasema hayo...
Tarehe iliyowekwa: October 1st, 2023
Wazee kutoka Manispaa ya Kinondoni waombwa kusimamia maadili ya vijana na watoto wote kwenye maeneo yao wanayoishi.
Hayo yamesemwa na Katibu Tawala wa Wilaya ya Kinondoni Bi. Stella Msofe katika ma...