Tarehe iliyowekwa: October 23rd, 2023
Ushindi wa magoli 3-1 katika mechi ya mpira wa miguu walioupata leo timu ya watumishi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni dhidi ya Temeke umekuwa mwiba mkali kwa Temeke.
Kinondoni wametupa kara...
Tarehe iliyowekwa: October 22nd, 2023
Timu ya mpira wa miguu ya watumishi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imepata ushindi wake wa kwanza katika mashindano ya SHIMISEMITA inayoendelea kutimua vumbi jijini Dodoma.
Kinondoni imepa...
Tarehe iliyowekwa: October 17th, 2023
Katika kujiandaa kukabiliana na mvua za Vuli zinazoweza kusababisha El Nino, Manispaa ya Kinondoni imetakiwa kushirikiana na wadau mbalimbali katika ngazi zote ili kuepukana na maafa.
Mkuu wa Wilay...