Tarehe iliyowekwa: November 30th, 2023
Halmashari ya Manispaa ya Kinondoni kwa kushirikiana na Kituo cha Urithi kwa pamoja wameazimia kuweka mpango wa kutunza kumbukumbu ya Makaburi ya Mashujaa wapigania Uhuru wa Kusini mwa Afrika.
Hayo...
Tarehe iliyowekwa: November 29th, 2023
Mwenyekiti wa Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi Taifa Bi. Fatuma Kange, amewataka wanawake wajasiriamali kutumia jukwaa la teknolojia kutangaza biashara zao ndani na nje ya Nchi.
Bi Fatu...
Tarehe iliyowekwa: November 29th, 2023
Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imetenga kiasi cha shilingi bilioni 5.2 kwa ajili ya mikopo ya asilimia 10 kwa wajasiriamali kwa mwaka wa fedha 2023/2024.
Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinon...