• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Afya na Usafishaji
      • Mipangomiji na Maendeleo ya Makazi
      • Kilimo na Mifugo
      • Elimu Sekondari
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na takwimu
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
      • Uwanda wa bahari, fukwe na visiwa
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
      • Matukio ya Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo cha mijini
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Maji na Usafishaji
    • Ujasiriamali na utoaji wa mikopo
    • Ushauri katika Kilimo
    • Elimu ya ufugaji, mifugo na uvuvi
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Baraza la Madiwani
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi
    • Vibali vya Ujenzi Vilivyotolewa
    • Nyaraka za Elimu
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Umma
  • Mifumo
    • NaPA
    • eMrejesho

"TUTENGENEZE MFUMO WA PAMOJA AMBAO NI SHIRIKISHI UTAKAOMWEZESHA MWANAFUNZI WA MASOMO YA SAYANSI KUFAULU VIZURI "

Tarehe iliyowekwa: May 19th, 2018

Hayo ni maneno yake Mstahiki Meya Manispaa ya Kinondoni Mh. Benjamin Sitta, alipokuwa mgeni rasmi katika kikao cha wazazi takriban 720, wa wanafunzi wa Sekondari za Serikali  wanaosoma mchepuo wa masomo ya Sayansi katika Sekondari 22, kati ya Sekondari 25, za Serikali za masomo hayo zilizopo Manispaa hiyo, kikao kilichofanyika katika shule ya Sekondari Turiani.

Amesema mwalimu na mzazi wanatakiwa kusimama kwa pamoja na kuzungumnza lugha moja itakayomweka mwanafunzi kwenye mstari uliosambamba utakaompelekea katika ufaulu wa masomo yake hayo ya Sayansi.

"Juhudi ya mwalimu pamoja na mzazi ndio itakayompeleka mtoto kwenye ufaulu mzuri, hivyo ewe mzazi, hakikisha unakuwa msimamizi wa kwanza wa mwanao, fuatilia maendeleo, kagua homework, wasiliana na Mwalimu akupe Maendeleo ya mtoto, hiyo ndio njia nzuri ya ushirikishwaji "Amesisitiza Meya.

Ameongeza kuwa Serikali ya awamu ya tano chini Rais Dr. John Pombe Magufuli imefanya makubwa kwenye sekta ya elimu ,ikiwa na lengo la kila mwanafunzi kupata haki sawa katika eneo hilo, hasa ikizingatiwa ni Serikali ya uchumi wa Kati wa viwanda, yenye uhitaji wa wahandisi wa kuendesha mitambo, na wataalam kwa uzalishaji wa bidhaa, ambapo  wanafunzi wetu wa masomo hayo ya sayansi wapo kwenye nafasi  kubwa ya kusimamia na kuendesha viwanda hivyo.

Naye Afisa Elimu Sekondari wa Manispaa hiyo Ndg Rodgers Shemwelekwa alipokuwa akifafanua lengo la kikao hicho kwa Meya huyo amesema, pamoja na mambo mengine lakini kubwa ni kuwaelimisha wazazi kuwa na uelewa wa pamoja wa elimu msingi bila malipo na ulipaji wa kodi, wajibu wa wazazi katika kuwasimamia wanafunzi, na hali ya ufaulu wa mitihani ya Taifa, pamoja na mpango mkakati wa idara ya Elimu Sekondari wa kuongeza ufaulu kwa wanafunzi wetu.

Mkutano huo umehusisha Afisa elimu taaluma, Afisa elimu takwimu na vifaa, bodi ya shule pamoja na wazazi takribani 720 wa wanafunzi kutoka shule za Sekondari ya Mbezi, Hananasifu, Kambangwa, Turiani ,Kigogo, Salma kikwete, Makumbusho na Makongo juu.

Wengine ni wazazi kutoka  Sekondari ya Kawe ukwamani, Mikocheni, Twiga, Kisauke,  Mbopo Maendeleo, Mtakuja,

Nkondo, Boko, Mabwe, Bunju A, na Mbweni teta.


Imeandaliwa na

Kitengo cha Uhusiano na Habari

Manispaa ya Kinondoni.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI May 24, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA April 13, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA DEREVA DARAJA II September 21, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI (TAREHE 20 SEPTEMBA, 2021) September 21, 2021
  • Tazama zote

Habari mpya

  • KINONDONI YAPONGEZWA KWA UJENZI WA KIWANJA CHA MICHEZO

    May 26, 2022
  • BARAZA LA MADIWANI ROBO YA TATU KINONDONI LAFANYIKA LEO

    May 18, 2022
  • KINONDONI KUFIKIA WATOTO TAKRIBANI 156871 KAMPENI YA SIKU NNE CHANJO YA POLIO KITAIFA

    May 18, 2022
  • MWENGE WA UHURU KINONDONI 2022, WAPITIA MIRADI YENYE THAMANI YA SHILINGI TAKRIBANI BILIONI 3.9 FEDHA ZA KITANZANIA

    May 10, 2022
  • Tazama zote

Picha Jongefu

POSHO MADIWANI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • TARATIBU ZA KUPATA KIBALI CHA UJENZI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • VITUO VYA KUKUSANYIA MAPATO
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • RATIBA YA MSTAHIKI MEYA
  • TAARIFA KWA UMMA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255 22 2170173

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.