• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Afya na Usafishaji
      • Mipangomiji na Maendeleo ya Makazi
      • Kilimo na Mifugo
      • Elimu Sekondari
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na takwimu
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
      • Uwanda wa bahari, fukwe na visiwa
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
      • Matukio ya Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo cha mijini
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Maji na Usafishaji
    • Ujasiriamali na utoaji wa mikopo
    • Ushauri katika Kilimo
    • Elimu ya ufugaji, mifugo na uvuvi
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Baraza la Madiwani
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi
    • Vibali vya Ujenzi Vilivyotolewa
    • Nyaraka za Elimu
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Umma
  • Mifumo
    • NaPA
    • eMrejesho

TAKRIBANI TSH BILIONI 242.1 ZAPITISHWA NA BARAZA LA MADIWANI MANISPAA YA KINONDONI, ZIKIWA NI FEDHA ZA MPANGO NA BAJETI KWA MWAKA 2018/2019.

Tarehe iliyowekwa: March 7th, 2018

 Baraza la madiwani Manispaa ya Kinondoni katika kikao chake leo limepitisha takribani sh biloni 242.1 zikiwa ni fedha kwa ajili ya makadirio ya Mapato na matumizi ya kawaida pamoja na mpango wa bajeti wa Maendeleo kwa mwaka 2018/2019

 Akifafanua mpango huo wa matumizi pamoja na bajeti hiyo  Mstahiki Meya wa Manispaa hiyo Mh Benjamin Sitta amesema kiasi cha takribani bilioni 120.3 ni matumizi ya kawaida, na bilioni 121.8 ni fedha za kutekeleza miradi ya Maendeleo ambapo kiasi cha takribani bilioni 32.7 kinatarajiwa kukusanywa kutoka vyanzo vyake vya ndani, na bilioni 209.4 ni ruzuku kutoka Serikali kuu kwa ajili ya matumizi ya kawaida na kutekeleza miradi ya Maendeleo. 

 Meya Sitta amebainisha kuwa mpango huu wa bajeti umeandaliwa kwa kuzingatia sera na miongozo ya Kitaifa, Sheria ya bajeti Na. 11 ya mwaka 2015, Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2025, pamoja na hotuba ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh John Pombe Joseph Magufuli ya tarehe 20/11/2015.

 Nyingine ni malengo ya Maendeleo endelevu ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2015-2020, Sera ya Taifa ya UKimwi, Sera za kisekta, mipango shirikishi jamii ya fursa na vikwazo ya (O&OD),pamoja na kutekeleza miradi ya kimkakati ili kukuza Mapato ya ndani ya Halmashauri na kutekeleza miradi michache yenye matokeo makubwa kwa haraka. 

 Naye Mh Songoro Mnyonge diwani kata ya Mwananyamala, ambaye pia ni mwenyekiti kamati ya Mipangomiji na Mazingira akiunga mkono hoja ya kupitishwa kiasi hicho cha fedha amesema Manispaa imejipanga kuibua vyanzo vipya vya mapato ili iweze kukidhi matakwa ya utekelezaji wa miradi ya Maendeleo kwa mwaka 2018/2019.

 Katika hatua nyingine Meya sitta ameainisha vipaumbele vya bajeti hiyo kuwa ni kuboresha na kuimarisha ukusanyaji wa Mapato, kuboresha miundombinu ya kiafya, shule, barabara, maji, kilimo mjini na vijijini, hifadhi ya Mazingira  ukusanyaji wa taka, pamoja na kuboresha Mazingira ya wafanyabiashara wadogo  wadogo.

 Imetolewa na
 Kitengo chá Uhusiano na Habari.
 Manispaa ya Kinondoni.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI May 24, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA April 13, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA DEREVA DARAJA II September 21, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI (TAREHE 20 SEPTEMBA, 2021) September 21, 2021
  • Tazama zote

Habari mpya

  • KINONDONI YAPONGEZWA KWA UJENZI WA KIWANJA CHA MICHEZO

    May 26, 2022
  • BARAZA LA MADIWANI ROBO YA TATU KINONDONI LAFANYIKA LEO

    May 18, 2022
  • KINONDONI KUFIKIA WATOTO TAKRIBANI 156871 KAMPENI YA SIKU NNE CHANJO YA POLIO KITAIFA

    May 18, 2022
  • MWENGE WA UHURU KINONDONI 2022, WAPITIA MIRADI YENYE THAMANI YA SHILINGI TAKRIBANI BILIONI 3.9 FEDHA ZA KITANZANIA

    May 10, 2022
  • Tazama zote

Picha Jongefu

POSHO MADIWANI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • TARATIBU ZA KUPATA KIBALI CHA UJENZI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • VITUO VYA KUKUSANYIA MAPATO
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • RATIBA YA MSTAHIKI MEYA
  • TAARIFA KWA UMMA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255 22 2170173

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.