• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Afya na Usafishaji
      • Mipangomiji na Maendeleo ya Makazi
      • Kilimo na Mifugo
      • Elimu Sekondari
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na takwimu
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
      • Uwanda wa bahari, fukwe na visiwa
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
      • Matukio ya Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo cha mijini
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Maji na Usafishaji
    • Ujasiriamali na utoaji wa mikopo
    • Ushauri katika Kilimo
    • Elimu ya ufugaji, mifugo na uvuvi
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Baraza la Madiwani
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi
    • Vibali vya Ujenzi Vilivyotolewa
    • Nyaraka za Elimu
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

RC MAKALLA ASHUHUDIA MAMIA YA WANANCHI WAKIFURIKA FUKWE YA OYSTERBAY

Tarehe iliyowekwa: October 16th, 2021

NI KUFUATIA ONESHO KUBWA LA TAMASHA LA UTALII LIITWALO "DAR SUNSET CARNIVAL"

-Àkiri tamasha kufanikiwa  kwa 100%

- Atangaza  uzinduzi rasmi kufanywa na Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa

- Abatiza Wafanyabiashara wa Coco kwa jina la Watoto wa Rais Mama Samia na kuwahakikishia hakuna atakayeondolewa

- Wananchi wafurahia burudani na kupongeza ubunifu uliotumika


Mamia ya wananchi na wapenzi wa burudani wamefurika kwa wingi kwenye tamasha kubwa la utalii  la DAR SUNSET CARNIVAL lililofanyika siku ya Jumamosi tarehe 16 Oktoba, 2021 katika fukwe ya Oysterbay ambapo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Amos Makalla alikuwa mgeni rasmi.

Akizungumza wakati wa tamasha hilo RC Makalla amesema baada ya maandalizi yote kukamilika kwa kiwango kusudiwa, tamasha rasmi litazinduliwa na Waziri Mkuu Mheshimiwa Kasim Majaliwa ambapo litaambatana na shamra shamra nyingi za burudani.

Aidha RC Makalla amesema tukio la leo limefanikiwa kwa kiasi kikubwa kutokana na ubunifu wa maandalizi na mwamko mkubwa wa wananchi waliojitokeza.

Hata hivyo RC Makalla amesema maboresho ya ufukwe wa Oysterbay yatawezesha kuchukuwa wafanyabiashara wengi zaidi ya waliokuwepo ambapo amebainisha kuwa lengo la Serikali ni kuwajali wafanyabiashara pamoja na kukuza utalii wa fukwe kupitia fukwe zote za Mkoa huu.

Pamoja na hayo RC Makalla amepongeza kampuni zote zilizokubali kushirikiana na Serikali kujenga vibanda vya kisasa bure na kusema matarajio ni kuona siku zijazo ujenzi wa vibanda vyote vinakamilika.

Maboresho ya ufukwe wa Oysterbay yamejumuisha usafi wa fukwe, ujenzi wa vibanda vya kisasa, ujenzi wa vyoo, miundombinu ya maji, umeme na kuhakikisha huduma zote za kifedha zinapatikana eneo hilo.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 20, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI May 24, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA DEREVA DARAJA II September 21, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI (TAREHE 20 SEPTEMBA, 2021) September 21, 2021
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIKUNDI 286 VYA WANUFAIKA WA MIKOPO YA ASILIMIA 10 VYAPATIWA MAFUNZO

    June 20, 2022
  • MAFUNZO KAZI YA MFUMO WA UTOAJI, USIMAMIZI WA MIKOPO YA ASILIMIA 10

    June 18, 2022
  • KINONDONI YAPONGEZWA KWA UJENZI WA KIWANJA CHA MICHEZO

    May 26, 2022
  • BARAZA LA MADIWANI ROBO YA TATU KINONDONI LAFANYIKA LEO

    May 18, 2022
  • Tazama zote

Picha Jongefu

POSHO MADIWANI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • TARATIBU ZA KUPATA KIBALI CHA UJENZI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • VITUO VYA KUKUSANYIA MAPATO
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • RATIBA YA MSTAHIKI MEYA
  • TAARIFA KWA UMMA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255 22 2170173

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.