• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Afya na Usafishaji
      • Mipangomiji na Maendeleo ya Makazi
      • Kilimo na Mifugo
      • Elimu Sekondari
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na takwimu
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
      • Uwanda wa bahari, fukwe na visiwa
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
      • Matukio ya Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo cha mijini
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Maji na Usafishaji
    • Ujasiriamali na utoaji wa mikopo
    • Ushauri katika Kilimo
    • Elimu ya ufugaji, mifugo na uvuvi
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Baraza la Madiwani
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi
    • Vibali vya Ujenzi Vilivyotolewa
    • Nyaraka za Elimu
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

MEYA KINONDONI AFUTURISHA

Tarehe iliyowekwa: April 27th, 2022

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mhe. Songoro Mnyonge ameandaa ibada ya futari iliyohusisha wananchi wa Kinondoni,  viongozi wa dini, viongozi wa vyama na Serikali pamoja na makundi mbalimbali hafla iliyofanyika katika viwanja vya ofisi hizo leo.

Akizungumza katika hafla hiyo Meya Songoro amesema lengo ni kujumuika pamoja katika mwezi mtukufu wa Ramadhan kama ishara ya kutenda wema, kufanya ibada na kuimarisha undugu katika kuienzi dhana ya toba na upendo kwa wananchi wake.

Amesema kujumuika pamoja kunaleta mshikamano uliodhahiri katika kutenda yale yanayompasa mwanadamu hasa dhana ya haki na kusisitiza umoja na mshikamano.

"Mwezi wa Ramadhan ni mwezi wa toba, matendo mema, ushirikiano na haki kwa waumini wa dini ya kiislam na katika kufanya hivyo mimi kama Mwenyekiti wa Halmashauri nimetamani kushirikiana na wananchi wangu ninaowajibika kwao katika ibada hii ya futari kama ishara ya ushirikiano, upendo na wema ili kwa pamoja tuweze kusimamia na kuenzi misingi ya haki katika uwajibikaji" Amesema Meya Songoro.

Katika hafla hiyo pia walishirikishwa Makao ya kulelea watoto yatima kutoka Malaika ambapo pamoja na shughuli nyingine walipatiwa vifaa mbalimbali ikiwemo vyakula kama ishara ya matendo mema kuelekea sikukuu ya Eid Al fitr.

Kadhalika alikuwepo pia Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Godwin Gondwe,  Sheikh Mkuu Mufti Abubakar Zuberi Bin Ali, Sheikh wa Mkoa Ndg. Alhad Mussa Salum na Sheikh wa Wilaya ya Kinondoni Sheikh Mohamed Muyenga.

Waalikwa wengine ni  Mwenyikiti wa BAKWATA Ndg. Ali Momba, Mwenyekiti wa Halmashauri Kuu Taifa Sheikh Hamis Mattaka na Imam Mwenyekiti Mkuu wa BAKWATA Imam Mwita Kambi.

Kwa upande wao viongozi wa dini mbalimbali walipopata fursa ya kuzungumza, wamemshukuru Mstahiki Meya, pamoja na Mkurugenzi wa Manispaa hiyo kwa kuandaa ibada ya futari iliyowakutanisha pamoja.


Imeandaliwa na

Kitengo Cha Habari na Uhusiano.

Manispaa ya Kinondoni.

Matangazo

  • MATOKEO YA USAILI KWA VITENDO (PRACTICAL) June 30, 2022
  • MATOKEO YA USAILI WA VITENDO KWA NAFASI YA DEREVA DARAJA II June 29, 2022
  • MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO ULIOFANYIKA TAREHE 28 JUNI, 2022 June 28, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 20, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • UHUSIANO WA DSM NA HAMBURG WAFANIKISHA UZINDUZI KIWANDA CHA MBOJI

    June 30, 2022
  • VIKUNDI 286 VYA WANUFAIKA WA MIKOPO YA ASILIMIA 10 VYAPATIWA MAFUNZO

    June 20, 2022
  • MAFUNZO KAZI YA MFUMO WA UTOAJI, USIMAMIZI WA MIKOPO YA ASILIMIA 10

    June 18, 2022
  • KINONDONI YAPONGEZWA KWA UJENZI WA KIWANJA CHA MICHEZO

    May 26, 2022
  • Tazama zote

Picha Jongefu

UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • TARATIBU ZA KUPATA KIBALI CHA UJENZI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • VITUO VYA KUKUSANYIA MAPATO
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • RATIBA YA MSTAHIKI MEYA
  • TAARIFA KWA UMMA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255 22 2170173

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.