• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Divisheni
      • Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Mahesabu
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Fukwe na Visiwa
    • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
    • Matukio ya Utalii
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Ujasiriamali
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Meya
  • Miradi
    • Iliyopangwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma
    • Fomu za maombi
    • Vibali vya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Habari
    • Matukio

KINONDONI YAPONGEZWA KWA UJENZI WA KIWANJA CHA MICHEZO

Tarehe iliyowekwa: May 26th, 2022

Pongezi hizo zimetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Amos Makala alipozuru katika  eneo la ujenzi wa kiwanja hicho kinachojengwa kwa kutumia fedha za Mapato ya ndani ya Halmashauri kilichopo eneo la Mwenge katika ziara yake ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo pamoja na utatuzi wa migogoro ya Ardhi iliyofanyika leo.

Amesema Kinondoni wamefanya jambo lenye tija kwao na Taifa kwa ujumla kwani kiwanja hiki ni sehemu ya chanzo cha Mapato pindi kitakapokamilika na kuanza kutumika kwa michezo yakiwemo mazoezi ya mpira wa miguu kwa kukodi.

Amesema" Tukubaliane ligi kuu itakayoanza uwanja wetu wa mpira uwepo, ili waweze kufanya mazoezi, kwanza mmeweka vizuri ramani ya ujenzi wa maduka, hii maana yake Mapato." RC Makala.

Ameongeza kuwa Dar es Salaam inayo uhaba wa viwanja vya mazoezi, kwa maana hiyo ni fursa pekee kwani sio lazima kucheza mechi bali hata mazoezi kwa kukodi ikaingiza Mapato.

Pia Mhe. Makala amefurahishwa na hekima za Manispaa ya Kinondoni kuamua kujenga msikiti wa kuabudia kwa waumini wa dini ya Kiislam kwenye eneo la mita za mraba 1000,  baada ya msikiti wa sasa kuwa ndani ya eneo la stendi.

Naye Mstahiki Meya wa Manispaa hiyo Mhe. Songoro Mnyonge alipofafanua amesema Kinondoni inakwenda kwa kasi na kumhakikishia Mkuu wa Mkoa kwamba kufika ligi kuu kuanza,  uwanja huo utakuwa  umekamilika katika vigezo vyote.

Katika hatua nyingine Mhe. Makala katika ziara yake amesitisha zoezi la uchimbaji wa kokoto eneo la Boko na kutoa wiki moja kwa wavamizi hao kuondoka eneo hilo, kupisha ujenzi wa kiwanda cha saruji.

Imeandaliwa na

Kitengo Cha Habari na Uhusiano.

Manispaa ya Kinondoni.

Matangazo

  • TANGAZO KUHUSU WAFUGAJI WENYE MIFUGO INAYOZURURA OVYO January 30, 2023
  • TANGAZO ULIPAJI WA TOZO January 26, 2023
  • TANGAZO KWA WAOMBAJI WA MIKOPO YA ASILIMIA 10 YA MAPATO YA NDANI November 24, 2022
  • MABADILIKO YA SIKU YA MAFUNZO YA WASIMAMIZI WA MAUDHUI, WASIMAMIZI WA TEHAMA NA MAKARANI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 July 28, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • PUNGUZENI MATUMIZI YA KARATASI-NDUMBARO

    February 08, 2023
  • BAJETI YA KISHINDO KINONDONI

    February 02, 2023
  • KINONDONI IMETOA MKOPO WA SHILINGI BILIONI 2.5 KWA VIKUNDI 115 VYA WAJASIRIAMALI BILA RIBA

    January 31, 2023
  • WITO UMETOLEWA KWA WAFANYABIASHARA KUREJEA MAENEO RASMI WALIYOTENGEWA

    January 28, 2023
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MCHUMI AWEKA WAZI MCHANGANUO WA BAJETI YA MANISPAA YA KINONDONI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • TARATIBU ZA KUPATA KIBALI CHA UJENZI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • VITUO VYA KUKUSANYIA MAPATO
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • RATIBA YA MSTAHIKI MEYA
  • TAARIFA KWA UMMA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255 22 2170173

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.