• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Divisheni
      • Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Mahesabu
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
      • Fukwe na Visiwa
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
    • Utalii
      • Matukio ya Utalii
      • Utalii wa Jiji
        • Royal Tour Bus
        • Mobile Stage
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Ujasiriamali
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi

KINONDONI YAPONGEZWA KWA KUWA NA KUSUDIO LA KUJENGA KIWANDA CHA KUCHAKATA TAKA MABWEPANDE.

Tarehe iliyowekwa: September 4th, 2017

Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imepongezwa kwa kuwa na kusudio la kujenga kiwanda cha kuchakata taka cha mbolea kitakachogharimu takribani shilingi bilioni 4.1 katika eneo la Mabwepande.

Pongezi hizo zimetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mh Paul Makonda leo alipokuwa akiongea kwenye mkutano na wananchi wa Tandale wanaotakiwa kulipwa fidia kupisha mradi wa DMDP

Amesema mradi huu utakapokamilika utakuwa na faida kubwa Sana kwa nchi yetu. Utaipeleka Dar Es Salaam pale inapotakiwa kuwa kwa swala la usafi wa Mazingira.

Pili utapunguza taka za kwenye masoko, utaongeza mapato kwa Halmashauri ya Kinondoni yatakayotokana na mauzo ya mbolea na utapunguza matumizi ya mbolea zenye kuleta athari ardhi na afya ya binadamu na pia huongeza fursa za ajira kwa vijana wa Kitanzania.

Imetolewa na
Kitengo cha Uhusiano.
Manispaa ya Kinondoni.

Matangazo

  • ZIARA YA KIKAZI YA WAZIRI WA NCHI November 24, 2023
  • SHMISEMITA 2023 October 17, 2023
  • TANGAZO KWA AMBAO HAWAJALIPIA VIWANJA June 26, 2023
  • MABADILIKO YA SIKU YA MAFUNZO YA WASIMAMIZI WA MAUDHUI, WASIMAMIZI WA TEHAMA NA MAKARANI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 July 28, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • TUWAJIBIKE - Mchengerwa

    November 25, 2023
  • NITAKUWA BEGA KWA BEGA KUFUATILIA MAJUKWAA- Mhe: Chalamila

    November 24, 2023
  • TUNZENI HISTORIA YA WAPIGANIA UHURU - MSIGWA

    November 23, 2023
  • KINGLION YAKABIDHI POLISI KINONDONI PIKIPIKI TANO

    November 22, 2023
  • Tazama zote

Picha Jongefu

JINSI YA KUSHIRIKI MNADA KWENYE MFUMO WA TAUSI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MWONGOZO WA NAMNA YA KUTUMIA MFUMO WA TAUSI
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • TARATIBU ZA KUPATA KIBALI CHA UJENZI
  • TAARIFA KWA UMMA
  • RATIBA YA MSTAHIKI MEYA
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255 22 2170173

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.