• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Divisheni
      • Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Mahesabu
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Fukwe na Visiwa
    • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
    • Matukio ya Utalii
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Ujasiriamali
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Meya
  • Miradi
    • Iliyopangwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma
    • Fomu za maombi
    • Vibali vya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Habari
    • Matukio

KINONDONI YAPOKEA VIFAA VYA HOSPITALI KUTOKA VYAMA VYA USHIRIKA

Tarehe iliyowekwa: December 14th, 2019

Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Mhe. Benjamini Sita amevipongeza vyama vya ushirika vilivyopo katika Halmashauri hiyo kwa kujitolea vifaa vya Hospitali katika Kituo Cha Afya cha Kigogo.

Aidha vyama hivyo vimemkabidhi Mhe. Sita  Magodoro 30, mashuka na foronya  150 ambapo wamesema kuwa vitasaidia wagonjwa watakaokuwa wanapatiwa matibabu katika kituo hicho.

 Akizungumza na vyama hivyo kabla ya kukabidhiwa vifaa hivyo, Meya Sita amesema kuwa  vitasaidia kuwahudumia wananchi mbalimbali watakao kuwa wanapatiwa huduma katika Kituo hicho cha Afya na kuwasihi  wengine kujitokeze kuchangia.

Amefafanua kuwa suala la Afya ni pana na kwamba Halmashauri iliamua kujenga Kituo hicho cha Afya ili kuwezesha wananchi kupata huduma kwa haraka na urahisi kutoka maeneo mbalimbali.

Ameeleza kuwa, Halmashauri ya Kinondoni inahudumia watu kutoka sehemu mbalimbali ikiwemo Bagamoyo, na kwamba  kulingana na wingi huo, imeweza kununua eneo hilo na  kujenga Kituo hicho cha Afya na kwamba watu kutoka shemu mbalimbali watapata huduma safi na bora inayokidhi viwango.

 Ameongeza kuwa” Tumepambana usiku na mchana, na mpongeza sana Mkurugenzi wetu , Ndugu Aron Kagurumjuli na watendaji wote kwa kufanikisha ujenzi wa Kituo hichi cha Afya, ambacho kitahudumia watu sio Kigogo tu , bali kitatoa huduma Ilala, Ubungo, na maeneo mengine kama ilivyo kwa Kituo cha Afya cha Magomeni.” amesema Meya Sita.

Hata hivyo Mhe. Sita emesema “ ninawapongeza sana, ninaimani wadau wengine watakapo ona hivi, itawakumbusha kuona kwamba wanawajibu kufanya hivi kama walivyofanya hawa vyama vya ushirika kutambua umuhimu wa afya katika Halmashauri yetu” ameongeza.

Kwa upande wake  Mkuu wa Idara ya Kilimo, Umwagiliaji, na Ushirika , Ndugu. Salehe Hija amekipongeza kitengo cha ushirika kwa kuandaa vifaa hivyo na kukabidhi katika Kituo hicho cha Afya na kusema kuwa kitendo hicho kitaonyesha njia  kwa watu wengine kujitolea.

Aidha Hija amesema kuwa vifaa hivyo vilivyotolewa vinathamani ya shilingi milioni 6.7 huku  kituo hicho kikiwa na uhitaji wa vitanda 150 ambapo  kwa mujibu wa mganga mfawidhi wa Kituo hicho , magodoro hayo  yaliyotolewa ni ni sawa na asilimia 20 ya mahitaji hayo.

 

Imetolewa na

Kitengo cha Habari na Uhusiano 

Manispaa ya Kinondoni.

Matangazo

  • TANGAZO KUHUSU WAFUGAJI WENYE MIFUGO INAYOZURURA OVYO January 30, 2023
  • TANGAZO ULIPAJI WA TOZO January 26, 2023
  • TANGAZO KWA WAOMBAJI WA MIKOPO YA ASILIMIA 10 YA MAPATO YA NDANI November 24, 2022
  • MABADILIKO YA SIKU YA MAFUNZO YA WASIMAMIZI WA MAUDHUI, WASIMAMIZI WA TEHAMA NA MAKARANI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 July 28, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • PUNGUZENI MATUMIZI YA KARATASI-NDUMBARO

    February 08, 2023
  • BAJETI YA KISHINDO KINONDONI

    February 02, 2023
  • KINONDONI IMETOA MKOPO WA SHILINGI BILIONI 2.5 KWA VIKUNDI 115 VYA WAJASIRIAMALI BILA RIBA

    January 31, 2023
  • WITO UMETOLEWA KWA WAFANYABIASHARA KUREJEA MAENEO RASMI WALIYOTENGEWA

    January 28, 2023
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MCHUMI AWEKA WAZI MCHANGANUO WA BAJETI YA MANISPAA YA KINONDONI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • TARATIBU ZA KUPATA KIBALI CHA UJENZI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • VITUO VYA KUKUSANYIA MAPATO
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • RATIBA YA MSTAHIKI MEYA
  • TAARIFA KWA UMMA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255 22 2170173

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.