• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Divisheni
      • Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Mahesabu
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Fukwe na Visiwa
    • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
    • Matukio ya Utalii
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Ujasiriamali
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba ya Meya
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Iliyopangwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma
    • Fomu za maombi
    • Vibali vya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Habari

DC GONDWE KINONDONI AKABIDHIWA OFISI RASMI

Tarehe iliyowekwa: June 24th, 2021

Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni ambaye kwa sasa ni Katibu Mkuu CCM Taifa  Mhe. Daniel Chongolo leo amekabidhi ofisi ya Kinondoni kwa Mkuu mpya wa Wilaya hiyo Mhe. Godwin Gondwe hafla iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Manispaa.

Akikabidhi ofisi hiyo pamoja na majukumu yake, amesema Kinondoni yenye Kata 20, Mitaa 106, majimbo ya Uchaguzi mawili, na kipaumbele chake kikubwa kikiwa ukusanyaji wa mapato ni mahali salama pa kufanya kazi kwa kuzingatia sheria, kanuni na  miongozo iliyopo yenye kuleta tija na maslahi mapana kwa wananchi na Taifa kwa ujumla.

Amesema "Wakati nakabidhiwa Kinondoni kutoka kwa kaka yangu Ally Hapi, ilikuwa salama kabisa, Mimi ndiye nilikuwa nimekabidhiwa hili gurudumu la kuiendesha kwa wakati huo, na sasa nakukabidhi wewe, uendelee nayo kwa uhuru, amani na kwa kufuata sheria, taratibu na kanuni zilizowekwa kwa maslahi mapana ya wananchi na  wala usiingiliwe na mtu yeyote". Katibu Mkuu CCM Chongolo amefafanua.

Aidha Katibu Mkuu huyo wa CCM Taifa pia ameziainisha changamoto zinazoikabili Kinondoni kuwa ni ukusanyaji wa mapato, ardhi, usafi pamoja na suala la ulinzi na usalama.

Naye Mkuu mpya wa Wilaya hiyo Mhe. Godwin Gondwe katika mazungumzo yake, amekiri kupokea maelekezo yote na kuahidi kuyatekeleza ikiwa ni pamoja na kushughulikia changamoto zilizoainishwa kwa maslahi mapana ya wananchi na Taifa kwa ujumla.

Alipokuwa akizungumza Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni Bi.Sipora liana, amempongeza Katibu Mkuu CCM Taifa Mhe. Daniel Chongolo kwa kuteuliwa kushika nafasi hiyo na kuahidi kuyaenzi yale mazuri aliyoyafanya na kumkaribisha Mkuu mpya wa Wilaya Mhe. Godwin Gondwe huku akiahidi ushirikiano katika kutekeleza majukumu yanayompasa.

Hafla hiyo imehudhuriwa pia na viongozi wa Chama na Serikali, Kamati ya ulinzi na usalama Wilaya, Taasisi za Serikali na binafsi, wadau wa mazingira, Wakala wa vipimo, Waheshimiwa Madiwani pamoja na wakuu wa Idara na Vitengo.


Imeandaliwa na

Kitengo Cha Habari na Uhusiano

Manispaa ya Kinondoni

Matangazo

  • PONGEZI June 07, 2023
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA May 19, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI-DEREVA DARAJA II April 24, 2023
  • MABADILIKO YA SIKU YA MAFUNZO YA WASIMAMIZI WA MAUDHUI, WASIMAMIZI WA TEHAMA NA MAKARANI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 July 28, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • AFISA ELIMU MSINGI KINONDONI APONGEZWA

    May 19, 2023
  • JAPAN YAIPATIA MSAADA MZIMUNI SEKONDARI

    March 15, 2023
  • VIKUNDI VYAASWA MATUMIZI SAHIHI YA MIKOPO

    February 18, 2023
  • "HAKUNA TIMU KUBWA ZAIDI YA KMC FC"

    February 18, 2023
  • Tazama zote

Picha Jongefu

VITUO VITANO VYA MSAADA WA MFUMO WA TAUSI, KITUO CHA MIITO YA SIMU KUBORESHA UKUSANYAJI WA MAPATO
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MWONGOZO WA NAMNA YA KUTUMIA MFUMO WA TAUSI
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • TARATIBU ZA KUPATA KIBALI CHA UJENZI
  • TAARIFA KWA UMMA
  • RATIBA YA MSTAHIKI MEYA
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255 22 2170173

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.