• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Divisheni
      • Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Mahesabu
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
      • Fukwe na Visiwa
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
    • Utalii
      • Matukio ya Utalii
      • Utalii wa Jiji
        • Royal Tour Bus
        • Mobile Stage
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Ujasiriamali
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi

DC GONDWE: ASISITIZA MAAGIZO YA RC AMOS MAKALLA KUFANYIWA KAZI

Tarehe iliyowekwa: August 10th, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Godwin Gondwe, amewataka Watendaji wa Kata, Mitaa na Wenyeviti wa Mitaa kuhakikisha wanayafanyia kazi maagizo ya Mkuu wa Mkoa Mhe. Amos Makalla kikamilifu.

DC Gondwe amesema, "Hakikisheni mnaendelea kusimamia swala la usafi katika mitaa yenu, swala la safisha pendezesha Dar es Salaam ni endelevu, mshirikiane na wananchi wa mitaa yenu kufanya usafi, kuwapanga Wamachinga katika maeneo yanayostahili, Sensa ya Watu na Makazi ni zoezi la kitaifa ni vyena swala hili likapewa kipaumbele na Wananchi wapate uelewa na kuwa tayari kuhesabiwa tarehe 23/08/2022.

Amehimiza maagizo hayo kuhakisha yanatekelezwa kikamilifu kwa Viongozi hao wa Kata na Mitaa, leo katika kikao kazi kilchofanyika ukumbi wa Shule ya Sekondari Turiani.

Hata hivyo Mhe.Gondwe amewapatia barua kila mmoja yenye maagizo hayo ya Mkuu wa Mkoa na kuwasisitiza kuwa kupitia maagizo ya Mkuu wa Mkoa kila mmoja ahakikishe anatekeleza majukumu hayo kwa wakati na kusikiliza kero za Wananchi na kuzitatua.

Pamoja na maagizo hayo, Mhe. Gondwe amewatakia utendaji na utekelezaji bora wa maagizo hayo ya Mkuu wa Mkoa. 



Imeandaliwa na:

Kitengo Cha Mawasiliano Serikalini.

Manispaa ya Kinondoni.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI November 23, 2023
  • ZIARA YA KIKAZI YA WAZIRI WA NCHI November 24, 2023
  • SHMISEMITA 2023 October 17, 2023
  • MABADILIKO YA SIKU YA MAFUNZO YA WASIMAMIZI WA MAUDHUI, WASIMAMIZI WA TEHAMA NA MAKARANI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 July 28, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • WAPIGANIA UHURU KUENZIWA

    November 30, 2023
  • "TUTUMIE MAJUKWA YA TEKNOLOJIA KUTANGAZA BIASHARA ZETU NDANI NA NJE YA NCHI"

    November 29, 2023
  • BILIONI 5.2 MIKOPO KWA WAJASILIAMALI

    November 29, 2023
  • TUWAJIBIKE - Mchengerwa

    November 25, 2023
  • Tazama zote

Picha Jongefu

JINSI YA KUSHIRIKI MNADA KWENYE MFUMO WA TAUSI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MWONGOZO WA NAMNA YA KUTUMIA MFUMO WA TAUSI
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • TARATIBU ZA KUPATA KIBALI CHA UJENZI
  • TAARIFA KWA UMMA
  • RATIBA YA MSTAHIKI MEYA
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255 22 2170173

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.