• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Afya na Usafishaji
      • Mipangomiji na Maendeleo ya Makazi
      • Kilimo na Mifugo
      • Elimu Sekondari
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na takwimu
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
      • Uwanda wa bahari, fukwe na visiwa
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
      • Matukio ya Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo cha mijini
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Maji na Usafishaji
    • Ujasiriamali na utoaji wa mikopo
    • Ushauri katika Kilimo
    • Elimu ya ufugaji, mifugo na uvuvi
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Baraza la Madiwani
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi
    • Vibali vya Ujenzi Vilivyotolewa
    • Nyaraka za Elimu
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

Ndugumbi

HISTORIA FUPI:

Kata ya Ndugumbi ilianza mwaka 2000 baada ya Kata ya Magomeni kugawanywa. Asili ya jina la Kata ya Ndugumbi ni kutokana na mzee maarufu aliyekuwa akiishi hapo ambaye yeye na ndugu yake walikuwa wanashirikiana na serikali kwa ukaribu kama wadau wa maendeleo katika utoaji wa maeneo ya ujenzi wa miundombinu mbalimbali ya kijamii ikiwemo shule, makanisa na misikiti. Mfano eneo lililojengwa shule ya sekondari Turiani lilitolewa na ndugu hao wawili kusaidia ujenzi  wa shule hiyo.


IDADI YA MITAA KATIKA KATA:

Kata ya Ndugumbi inayo itaa minne (04) ambayo ni: -

  1. Mtaa wa Mpakani
  2. Mtaa wa Mikoroshini
  3. Mtaa wa Makanya
  4. Mtaa wa Vigaeni


HALI YA ELIMU KATIKA KATA:

Hali ya elimu katika Kata ni ya wastani, hasa elimu awali na msingi. Aidha kuna shule tatu (03) ambazo ni

  1. Shule ya msingi Mwalimu Nyerere
  2. Shule ya msingi Turiani
  3. Shule ya msingi Ndugumbi


SHULE YA SEKONDARI ZA SERIKALI NA ZA BINAFSI:

Kata ya Ndugumbi inazo shule mbili (02) za sekondari za serikali na binafsi kama ifuatavyo: -

  1. Shule ya sekondari Turiani - Serikali
  2. Shule ya sekondari Baptist church - Binafsi


HALI YA AFYA:

Hali ya Afya katika Kata ya Ndugumbi ni ya kuridhisha kwani Kata ina Kituo cha Afya cha serikali pamoja Zahanati za serikali na binafsi.


KITUO CHA AFYA KILICHOPO KATA YA NDUGUMBI:

Kituo cha Afya kilichopo ni kimoja ambacho ni cha serikali kinaitwa Kituo cha Afya cha Magomeni.


ZAHANATI ILIYOPO KATA YA NDUGUMBI:

Kata ya Ndugumbi ina Zahanati moja ya binafsi inayojulikana kwa jina la Zahanati ya Subi.


HALI YA MIUNDOMBINU YA BARABARA:

Hali ya  miundombinu ya barabara ni ya wastani, kukiwa na barabara kadhaa zinazoitaji  marekebisho madogo, pamoja na kuwekewa mitaro mizuri pembezoni mwa barabara. Kkwa upande wa barabara za lami kuna takribani kilomita 10 barabara za kiwango cha lami katika kata ya Ndugumbi.


MAHUSIANO NA WADAU:

Hali ya Mahusiano na wadau katika Kata ni ya kuridhisha kwani hushirikiana pamoja katika kuleta maendeleo .


MIRADI  YA KUJIVUNIA KATIKA KATA:

Kata inayo miradi inayojivunia kwayo ambayo hutekelezwa kama ifuatavyo:-

  • Benki ya DCB
  • Finca
  • Tanesco
  • Nida
  • Bank ya CRDB
  • TTCL
  • Makao Makuu ya Halmashauri
  • Oilcom
  • Lake Oil


HALI YA MAENDELEO YA WATU:

Katika Kata ya Ndugumbi, mipangomiji ni ya wastani, lipo eneo la Bonde Mtaa wa Makanya Vigaeni.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 20, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI May 24, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA DEREVA DARAJA II September 21, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI (TAREHE 20 SEPTEMBA, 2021) September 21, 2021
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIKUNDI 286 VYA WANUFAIKA WA MIKOPO YA ASILIMIA 10 VYAPATIWA MAFUNZO

    June 20, 2022
  • MAFUNZO KAZI YA MFUMO WA UTOAJI, USIMAMIZI WA MIKOPO YA ASILIMIA 10

    June 18, 2022
  • KINONDONI YAPONGEZWA KWA UJENZI WA KIWANJA CHA MICHEZO

    May 26, 2022
  • BARAZA LA MADIWANI ROBO YA TATU KINONDONI LAFANYIKA LEO

    May 18, 2022
  • Tazama zote

Picha Jongefu

POSHO MADIWANI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • TARATIBU ZA KUPATA KIBALI CHA UJENZI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • VITUO VYA KUKUSANYIA MAPATO
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • RATIBA YA MSTAHIKI MEYA
  • TAARIFA KWA UMMA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255 22 2170173

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.