• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Divisheni
      • Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Mahesabu
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Fukwe na Visiwa
    • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
    • Matukio ya Utalii
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Ujasiriamali
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Meya
  • Miradi
    • Iliyopangwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma
    • Fomu za maombi
    • Vibali vya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Habari
    • Matukio

Mbweni

HISTORIA FUPI:

Kata ya Mbweni ni miongoni mwa Kata 20 za Manispaa ya Kinondoni. Asili ya jina Mbweni ni uwepo wa bandari kubwa ya asili iliyokuwa inatumika na Wareno enzi za ukoloni, jina ambalo wageni na wenyeji walilitumia wakimaanisha ni sehemu tulivu.

Sehemu ya BANDA MOJA, kwa sasa ni MITI 3 kulikuwa na makaburi ya Wahindi, Waarabu na Wasomali ambao wote walifika katika vipindi tofauti eneo la Mbweni kwa ajili ya kupakia na kushusha bidhaa zao kwa kutumia eneo la bandari lilikokuwa likijulikana kwa jina la STAHABUU ambalo kwa sasa kuna kambi ya kijeshi ya 19 (JKT). Uwepo wa bandari hii ulipelekea mji kutanuka haswa maeneo ya Mpiji na Teta.

Mtaa wa Teta ulikuwa na mashamba ya miembe, minazi na mikorosho. Bidhaa mbalimbali zilikuwa zinasafirishwa katika eneo hili zikiwemo vipusa na mchele kwenda Uarabuni kwa kutumia majahazi makubwa.

Eneo ambalo kwa sasa ni Mtaa wa Maputo kulikuwa na shamba enzi za ukoloni na Bagamoyo ilikuwa ni Makao Makuu. Kiongozi mkuu wa eneo hili alkuwa akifahamika kwa jina la GULAMRASSUR na alikuwa ni LALIWI, cheo kama cha Mkuu wa Wilaya (DC) kwa sasa. Kazi yake kubwa ilikuwa ni kusimamia mashamba na wakulima ambao walilazimishwa kulima mazao ya korosho na mihogo.

Mtaa wa Malindi Estate paliitwa MMARANII na palikuwa na jela ya watoto na msikiti ambao ulijengwa na mzungu aliyeitwa BELL ambapo kwa sasa ndio eneo la USALAMA WA TAIFA.


IDADI YA MITAA KATIKA KATA:

Kata ya Mbweni inayo mitaa mitano (05) ambayo ni: -

  1. Mtaa wa Teta
  2. Mtaa wa Maputo
  3. Mtaa wa Mpiji
  4. Mtaa wa Malindi Estate
  5. Mtaa wa Mbweni


HALI YA ELIMU KATIKA KATA:

Hali ya elimu katika Kata ni ya kuridhisha, hasa elimu ya msingi na sekondari pamoja na uwepo wa chuo. Aidha kuna shule sita ambazo ni: -

  1. Shule ya msingi Mbweni
  2. Shule ya msingi Kiumbageni
  3. Shule ya msingi Hope and Joy
  4. Shule ya msingi New Era
  5. Shule ya msingi Kids Planets
  6. Shule ya msingi Mount Evarest


SHULE ZA SEKONDARI:

Kata ya Mbweni inazo shule sita (06) za sekondari  za serikali na binafsi ambazo ni: -

  1. Shule ya sekondari Mpiji - Serikali
  2. Shule ya sekondari Teta - Serikali
  3. Shule ya sekondari Dar es Salaam Independent - Binafsi
  4. Shule ya sekondari Shamsiye - Binafsi
  5. Shule ya sekondari New Era - Binafsi
  6. Shule ya sekondari Hope and Joy - Binafsi


CHUO CHA ELIMU YA KATI:

Katika Kata ya Mbweni kuna Chuo cha Afya kinachojulikana kwa jina la Nyaishozi College of Health.


HALI YA AFYA:

Hali ya Afya katika Kata ya Mbwenii ni ya kuridhisha kwani ina Hospitali ya binafsi ijulikanayo kwa jina la Hospitali ya St. Joseph na Zahanati ya serikali ijulikanayo kwa jina la Zahanati ya Mbweni.


MAHUSIANO NA WADAU:

Mahusiano na wadau wa maendeleo ni ya wastani maana  hakuna  makampuni binafsi katika Kata.


HALI YA MAENDELEO YA WATU:

Katika Kata ya Mbweni, mipangomiji na uwepo wa miundombinu ya huduma mbalimbali ni ya kuridhisha.

Matangazo

  • TANGAZO KUHUSU WAFUGAJI WENYE MIFUGO INAYOZURURA OVYO January 30, 2023
  • TANGAZO ULIPAJI WA TOZO January 26, 2023
  • TANGAZO KWA WAOMBAJI WA MIKOPO YA ASILIMIA 10 YA MAPATO YA NDANI November 24, 2022
  • MABADILIKO YA SIKU YA MAFUNZO YA WASIMAMIZI WA MAUDHUI, WASIMAMIZI WA TEHAMA NA MAKARANI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 July 28, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • PUNGUZENI MATUMIZI YA KARATASI-NDUMBARO

    February 08, 2023
  • BAJETI YA KISHINDO KINONDONI

    February 02, 2023
  • KINONDONI IMETOA MKOPO WA SHILINGI BILIONI 2.5 KWA VIKUNDI 115 VYA WAJASIRIAMALI BILA RIBA

    January 31, 2023
  • WITO UMETOLEWA KWA WAFANYABIASHARA KUREJEA MAENEO RASMI WALIYOTENGEWA

    January 28, 2023
  • Tazama zote

Picha Jongefu

MCHUMI AWEKA WAZI MCHANGANUO WA BAJETI YA MANISPAA YA KINONDONI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • TARATIBU ZA KUPATA KIBALI CHA UJENZI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • VITUO VYA KUKUSANYIA MAPATO
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • RATIBA YA MSTAHIKI MEYA
  • TAARIFA KWA UMMA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255 22 2170173

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.