• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Afya na Usafishaji
      • Mipangomiji na Maendeleo ya Makazi
      • Kilimo na Mifugo
      • Elimu Sekondari
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na takwimu
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • TEHAMA
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa utawala
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya utalii
      • Uwanda wa bahari, fukwe na visiwa
      • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
      • Matukio ya Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo cha mijini
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Maji na Usafishaji
    • Ujasiriamali na utoaji wa mikopo
    • Ushauri katika Kilimo
    • Elimu ya ufugaji, mifugo na uvuvi
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
      • Baraza la Madiwani
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Ratiba ya Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Fomu za maombi
    • Vibali vya Ujenzi Vilivyotolewa
    • Nyaraka za Elimu
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video

Makongo

HISTORIA FUPI:

Kata ya Makongo ni miongoni mwa Kata 20 za Manispaa ya Kinondoni. Kata hii imetokana na Kata ya Kawe. Asili ya jina Makongo ni aina ya miti ya kujengea (Makongo) ambayo ilikuwa inatumiwa na wenyeji wa eneo hilo ambao walikuwa ni Wamatumbi na Wangindo. Kata ya Makongo imepakana na Manispaa ya Ubungo.

 

IDADI YA MITAA:

Kata ya Makongo ina jumla ya mitaa minne (04) ya Kiserikali ambayo ni: -

  1. Mtaa wa Changanyikeni
  2. Mtaa wa Makongo Juu
  3. Mtaa wa Mlalakuwa
  4. Mtaa wa Mbuyuni

 

HALI YA ELIMU KATIKA KATA:

Hali ya elimu katika Kata ni ya kuridhisha, hasa elimu ya awali, msingi, sekondari na uwepo wa chuo.


SHULE ZA MSINGI ZA SERIKALI:

Kata ya Makongo inazo shule za msingi tatu (03) za serikali kama ifuatavyo: -

  1. Shule ya msingi Changanyikeni
  2. Shule ya msingi Makongo Juu
  3. Shule ya msingi Londa

 

SHULE ZA AWALI ZA BINAFSI KATIKA KATA:

Kata ya Makongo ina shule za awali za binafsi kumi (10) kama ifuatavyo: -

  1. Elite Spirit
  2. Vanco 
  3. Codafrica
  4. Bells 
  5. Winnie 
  6. City Pre
  7. Sky Professional
  8. Glorious
  9. Winner
  10. Epic International


SHULE ZA MSINGI ZA BINAFSI:

Kata ya Makongo inazo shule za msingi tatu (03) za binafsi kama ifuatavyo: -

  1. Shule ya msingi St. Columbas
  2. Shule ya msingi Naitedam
  3. Shule ya msingi City Academy

 

SHULE ZA SEKONDARI ZA SERIKALI:

Kata ya Makongo inazo shule mbili (02) za sekondari za serikali kama ifuatavyo: -

  1. Shule ya sekondari Makongo Juu
  2. Shule ya sekondari Makongo high school


SHULE ZA SEKONDARI ZA BINAFSI:

Kata ya Makongo inazo shule mbili (02) za sekondari za binafsi kama ifuatavyo: -

  1. Shule ya sekondari White Lake
  2. Shule ya sekondari George Washington


CHUO KIKUU KILICHOPO KATIKA KATA:

Kata ya Makongo ina Chuo Kikuu kimoja cha serikali kinachojulikana kwa jina la Chuo Kikuu Ardhi.


HALI YA AFYA:

Hali ya Afya katika Kata ya Makongo ni ya kuridhisha kwani ina Hospitali na Zahanati za serikali.


HOSPITALI ILIYOPO KATIKA KATA:

Kata ya Makongo ina Hospitali moja ya rufaa ya mama na mtoto inayomilikiwa na jeshi inayojulikana kwa jina la Benedicoy.


ZAHANATI ZA SERIKALI ZILIZOPO KATIKA KATA:

Kata ya Makongo ina Zahanati tatu za serikali kama ifuatavyo: -

  1. Zahanati ya Makongo Juu
  2. Zahanati ya Mlalakuwa
  3. Zahanati ya Jeshi la Anga Changanyikeni


HALI YA MIUNDOMBINU YA BARABARA:

Hali ya miundombinu ya barabara katika Kata ya Makongo ni ya kuridhisha. Hali ya miundombinu sio rafiki katika mtaa wa Makongo Juu, kwa kuwa maeneo yake yana mwinuko.


MAHUSIANO NA WADAU WA MAENDELEO:

Mahusiano ya wadau wa maendeleo na uongozi wa Kata na mitaa ni mazuri, kwani wako mstari wa mbele kuchangia shughuli za kijamii na miradi ya maendeleo.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 20, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI May 24, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA DEREVA DARAJA II September 21, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI (TAREHE 20 SEPTEMBA, 2021) September 21, 2021
  • Tazama zote

Habari mpya

  • VIKUNDI 286 VYA WANUFAIKA WA MIKOPO YA ASILIMIA 10 VYAPATIWA MAFUNZO

    June 20, 2022
  • MAFUNZO KAZI YA MFUMO WA UTOAJI, USIMAMIZI WA MIKOPO YA ASILIMIA 10

    June 18, 2022
  • KINONDONI YAPONGEZWA KWA UJENZI WA KIWANJA CHA MICHEZO

    May 26, 2022
  • BARAZA LA MADIWANI ROBO YA TATU KINONDONI LAFANYIKA LEO

    May 18, 2022
  • Tazama zote

Picha Jongefu

POSHO MADIWANI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • TARATIBU ZA KUPATA KIBALI CHA UJENZI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • VITUO VYA KUKUSANYIA MAPATO
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • RATIBA YA MSTAHIKI MEYA
  • TAARIFA KWA UMMA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255 22 2170173

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.