Nawezaje kupata huduma kwa Watumishi wa Umma kupitia Utumishi Portal?
1. Fungua link ya Utumishi Portal ambayo ni http://watumishiportal.utumishi.go.tz
2. Andika majina yako kamili ambayo yapo kwenye ‘salary slip’
3. Jaza barua pepe unayotumia (e-mail) na kama hauna barua pepe na unahitaji msaada wa kuipata, tafadhali fika Ofisi ya TEHAMA-Makao kwa msaada zaidi.
4. Andika neno lako la siri
5. Thibitisha
6. Jisajili
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255 22 2170173
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.