Friday 13th, September 2024
@Tandale shule ya Msingi
Mkutano wa mafunzo ya kuongeza uelewa juu ya kuzuia na kujikinga na maambukizi ya magonjwa kwa unawaji sahihi wa mikono, uliofanyika katika viwanja vya shule ya msingi tandale.
Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Tandale akionesha hatua kumi za kuosha mikono kwa usahihi.
Mwenyekti wa Srikali ya Mtaa wa Tandale Sokoni Bi. Marshda Ally Kiswela akisoma taarifa kuhusiana na uelewa juu ya kuzuia na kujikinga na Maambukizi ya magonjwa ya Mlipuko.
Matukio Katika picha kufuatia hafla ya mkutano wa siku ya kunawa mikono.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255222170173
Simu ya mkononi: +255733241052
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.