Saturday 2nd, July 2022
@Dodoma
Sikukuu ya wafanyakazi duniani ni kumbukumbu ya mauaji ya halaiki ya mwaka 1886 yaliyotokea katika viwanja vya Haymarket, Chicago, nchini Marekani. Polisi walikuwa wakitawanya mkusanyiko wa wafanyakazi wakati wa mgomo wa kupinga masaa nane ya kazi ambapo mtu asiyejulikana aliwarushia askari bomu. Polisi waliwalirushia risasi wafanyakazi na kuwaua wanne.
Siku ya hii kwa Tanzania hujulikana kama Siku ya Wafanyakazi Duniani yaani Mei Mosi, inasherehekewa kila mwaka tarehe 1 Mei. Sherehe hufanywa kitaifa na huwakutanisha wafanyakazi kutoka sekta mbalimbali binafsi na umma.
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika sherehe za maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani mwaka 2022 ambayo yatafanyika kitaifa mkoani Dodoma.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255 22 2170173
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.