Sunday 3rd, July 2022
@Ukumbi wa Mikutano waManispaa
Manispaa ya Kinondoni imefanya uchaguzi wa Naibu Meya ambapo Mh Manyama Mangalu (Diwani Kata ya Kigogo),aliyekuwa Naibu Meya hapo awali ameendelea kushika nafasi hiyo kwa mara nyingine.
Uchaguzi huo umefanyika leo kwenye ukumbi wa mikutano wa Manispaa na kuhudhuriwa na Baraza la Madiwani la Manispaa, Katibu tawala wa Wilaya ya Kinondoni Bi. Gifti Isaya, Mkurugenzi wa Manispaa hiyo Ndg Aron Kagurumjuli pamoja na wakuu wa idara na vitengo.
Mh. Hashimi Mbonde , diwani waKata ya Mbweni akitiliana saini baada ya kuapishwa.
Diwani Mpya waKata ya MbweniMh. Hashimu Mbonde akiapa baada ya kuapishwa
Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni Ndg. Aron Kagurumjuli akifungua Mkutnao wa Uchanguzi, pamoja na Katibu Tawala wa Wilaya ya Kinondoni Bi. Gifti Isaya (Kushoto)
Naibu Meya waManispaa yaKinondoni Mh. Manyama Mangalu akisalimia hadhira baada ya Kuchaguliwa.
2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam
Anuani ya Posta: S.L.P 31902
Simu ya mezani: +255 22 2170173
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.