• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Wasifu wa Halmashauri
  • Utawala
    • Divisheni
      • Miundombinu, Vijijini na Mijini
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Mipango na Uratibu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Uhifadhi wa Maliasili na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Mahesabu
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Usimamizi wa Manunuzi
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
    • Ofisi ya Mtendaji wa Kata
    • Ofisi ya Mtendaji wa Mtaa
    • Kata
      • Bunju
      • Hananasif
      • Kawe
      • Kigogo
      • Kijitonyama
      • Kinondoni
      • Kunduchi
      • Mabwepande
      • Magomeni
      • Makongo
      • Makumbusho
      • Mbezi Juu
      • Mbweni
      • Mikocheni
      • Msasani
      • Mwananyamala
      • Mzimuni
      • Ndugumbi
      • Tandale
      • Wazo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Fukwe na Visiwa
    • Sehemu za kitamaduni, ngoma za asili na sanaa za mikono
    • Matukio ya Utalii
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Huduma za Elimu
    • Ujasiriamali
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vituo vya Ukusanyaji Mapato
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Maadili
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhibiti UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya Meya
  • Miradi
    • Iliyopangwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Sera
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Mkataba wa huduma
    • Fomu za maombi
    • Vibali vya Ujenzi
    • Nyaraka za Elimu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Habari
    • Matukio

UTALII

UTALII KATIKA MKOA WA DAR ES SALAAM

Mkoa wa Dar es Salaam ni muhimu sana katika   uchumi wa Tanzania. Unapatikana katika pwani ya Bahari ya Hindi na una Bandari kubwa katika Afrika mashariki unaoufanya mkoa huu kuwa mashuhuri sana kiuchumu. Una miundombinu ya uhakika ambayo ni barabara nzuri za lami, hoteli zenye hadhi ya kuanzia nyota 1 hadi  5 na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa ujulikanao kama (Mwalimu Nyerere International Airport). Uwepo wa Bandari kubwa na ya kisasa unaufanya Mkoa uweze  kufikika kirahisi kwa kupitia Baharini na Nchikavu kutoka katika kila pembe ya Dunia na kuwa kiungo muhimu katika Sekta ya Utalii.

Mkoa wa Dar es Salaam hauko nyuma katika Sekta ya utalii. Mkoa huu una vivutio vingi ambavyo ni muhimu katika kuvutia watalii. Vivutio vya asili vilivyopo katika Mkoa wa Dar es Salaam ni Bahari yenye fukwe nzuri, Misitu ya Mikoko na Miyombo, Visiwa, Matumbawe na hifadhi ya wanyama Dar es Salaam zoo.

Dar es Salaam ina uoto wa asili wa aina mbili ambao ni Misitu ya Mikoko yenye ukubwa wa hekta 2,760 na Miyombo yenye ukubwa wa hekta 1,380.  Misitu ya Mikoko inapatikana katika mwabao wa Bahari ya Hindi na Misitu ya Miyombo inapakika katika maeneo ya uwanda wa juu. Misitu hii imehifadhiwa kwa ajili ya makazi na mazalia ya viumbe wa baharini na nchi kavu na ni kivutio kizuri cha utalii katika mkoa wetu.

Uwepo wa Bahari ya Hindi katika Mkoa huu ni kivutio kizuri sana cha utalii kwa kutoa muonekano unaovutia na kuleta upepo mzuri. Bahari inaweza kutumika kwa kufanya mashindano ya kuendesha boti pamoja na kuogelea. Bahari vilevile ni hifadhi ya samaki wengi wanaovutia. Ufukwe mzuri wa Koko wenye eneo kubwa la kupumzika ni kivutio kizuri cha utalii kwa wenyeji na wageni

Mkoa vilevile una visiwa vikubwa vitatu vilivyo umbali kidogo kutoka katika ufukwe wa Bahari. Visiwa hivyo ni  Mbudya, Bongoyo na Pangavini. Visiwa hivi vina misitu mikubwa ya asili inayopendesha mazingira na ni makazi ya viumbe wa nchi kavu kama vile ndege na nyoka. Vimezungukwa na miamba ya matumbawe (coral reefs) ya rangi mbalimbali na ni mazalia ya samaki.

Mkoa huu una vivutio vingi vya kale ambavyo ni mabaki ya tokea Utawala wa Mwarabu, Mjerumani na Muingereza pamoja na mabaki ya zana na watu wa kale. Mabaki haya yanaonekana kama alama zilizopo ardhini na kwenye majengo.

  • Makumbusho ya Taifa yanayoonesha mabaki ya mafuvu ya binadamu wa kale pamoja na nyayo kutoka katika mapango maarufu ya Olduvai, Hifadhi ya zana za kale za uhunzi pamoja na picha za asili ya makabila mbalimabali.
  • Kijiji cha Makumbusho ni kivutio kizuri cha utalii kinachoonesha tamaduni za makabila yasipungua 100 ya Tanzania. Kinazo nyumba za asili zilizojengwa kwa tope na kuezekwa kwa nyasi na tope. Vivevile kina michoro ya asili, mikeka iliyosukwa kwa mikono na ngoma za asili zinazovutia kucheza.
  • Kunduchi Beach yenye mabwawa makubwa ya kuogelea pamoja na Uwanda mkubwa wa Bahari unaotumika kwa michezo ya kukimbizana kwa pikipiki za majini ni kivutio kikubwa cha utalii katika Mkoa wetu. Katika hoteli hii kuna maeneo yaliyotengenezwa kwa ajili ya michezo ya watoto na migahawa ya vyakula ambavyo hutia hamasa kutembelea maeneo haya.
  • Vivutio vingine mbalimbali vinavyobeba historia ya ukoloni kuanzia Utawala wa Mwarabu hadi Muingereza ni uwepo wa nyumba za ibada kama vile Msikiti wa Mtoro na Nyamwezi iliyopo Kariakoo, Kanisa  (St. Joseph’s, The White Father’s Mission House), 
  • Ikulu Ofisi kuu ya Utawala wa nchi hii yenye usanifu wa kale iliyopambwa na ndege wazuri wasiopatikana eneo lolote Duniani kivutio kizuri cha utalii katika mkoa wetu.
  • Vilevile Mkoa unatambulika kwa kuwa na hoteli zenye hadhi ya nyota tano ambazo zinatoa uhakika wa malazi salama kwa watalii.

Ushirikiano na Miji mingine ya Utalii Duniani ni jambo muhimu sana, tunaweza kuibadilisha Dar es Salaam kuwa Jiji kuu la Utalii Duniani na kuliongezea Taifa kipato. Si hivyo tu bali uchumi wa watu utabadilika na kupunguza umasikini. Kwa kuzingatia kwamba Serikali yetu inasisitiza mabadiliko katika kuboresha uchumi wa viwanda ili kuondoa umasikini na kufikia malengo ya kuwa na uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025.

Matangazo

  • KUFUTA TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI March 14, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA YA MKATABA March 13, 2023
  • TANGAZO KWA WASIOLIPIA VIWANJA BOKO DOVYA (KWA SOMJI) NA SALASALA February 15, 2023
  • MABADILIKO YA SIKU YA MAFUNZO YA WASIMAMIZI WA MAUDHUI, WASIMAMIZI WA TEHAMA NA MAKARANI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 July 28, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • JAPAN YAIPATIA MSAADA MZIMUNI SEKONDARI

    March 15, 2023
  • VIKUNDI VYAASWA MATUMIZI SAHIHI YA MIKOPO

    February 18, 2023
  • "HAKUNA TIMU KUBWA ZAIDI YA KMC FC"

    February 18, 2023
  • ULINZI NI KIPAUMBELE KINODONI-DC SAAD

    February 12, 2023
  • Tazama zote

Picha Jongefu

VIKUNDI VILIVYOSEPA NA BILIONI 11 VYAKALIWA KOONI MANISPAA YA KINONDONI. REJESHENI...
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • MWONGOZO WA NAMNA YA KUTUMIA MFUMO WA TAUSI
  • UJASIRIAMALI NA UTOAJI MIKOPO
  • TARATIBU ZA KUPATA KIBALI CHA UJENZI
  • TAARIFA KWA UMMA
  • RATIBA YA MSTAHIKI MEYA
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA
  • MIRADI ILIYOKAMILIKA

Viunganishi Linganifu

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA
  • TOVUTI YA IDARA YA HABARI MAELEZO
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

Idadi ya Wasomaji

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Morogoro, 14883 Dar es Salaam

    Anuani ya Posta: S.L.P 31902

    Simu ya mezani: +255 22 2170173

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni. Haki Zote Zimehifadhiwa.