• Malalamiko |
    • Anuani zetu |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Municipal Profile
  • Utawala
    • Idara
      • Human Resources
      • AFYA NA USAFISHAJI
      • Urban planning and Land Development
      • KILIMO NA MIFUGO
      • Secondary Education
      • Pre and Primary Education
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na takwimu
      • Community Development
    • Vitengo
      • sheria
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Tehama
    • Kata
      • Kinondoni
      • Magomeni
      • Makumbusho
      • Mwananyamala
      • Kijitonyama
      • Wazo
      • Bunju
      • Mbezi juu
      • Ndugumbi
      • Msasani
      • Kawe
      • Mzimuni
      • Mabwepande
      • Tandale
      • Kigogo
      • Mikocheni
      • Hananasif
      • Kunduchi
      • Makongo
      • Mbweni
    • Muundo wa utawala
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Education
    • Afya
    • Maji naUsafishaji
    • entrepreneur and Soft Loan
    • Agricultural Consultancy
    • livestock keeping advice
    • Tax collection Centers
  • Madiwani
    • Baraza la madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyomalizika
  • Machapisho
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Miongozo
    • Fomu
    • Taarifa
    • Vipeperushi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya picha jongefu

TAKRIBANI VIWANJA 5000 VIMEPIMWA KATIKA KATA YA WAZO ENEO LA NYAKASANGWE, NJE YA BAJETI YA SERIKALI.

Posted on: March 26th, 2018

 NI BAADA YA DC KINONDONI KUTATUA MGOGORO ULIODUMU KWA MUDA MREFU KATI YA WATU WENYE MASHAMBA NA WAKAAZI WA ENEO HILO. 

 Takribani viwanja 5000 vilivyoko Kata ya wazo eneo la Nyakasangwe Wilaya ya Kinondoni, vimepimwa nje ya bajeti ya Serikali, baada ya kutatuliwa kwa uliokuwa mgogoro wa muda mrefu uliohusisha wakaazi wa eneo lile pamoja na wenye mashamba. 

 Akiongea na wananchi wa eneo hilo,baada ya uzinduzi wa upimaji,  Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh Alli Hapi amesema amefurahishwa sana kwa mgogoro huu uliogharimu maisha ya watu kumalizika kwa kiwango na manufaa makubwa yenye tija kwa Taifa letu. 

 Amesema migogoro kama hii imekuwa changamoto kubwa ya amani katika Nchi yetu, hasa Wilaya ya Kinondoni inayohitaji hekima, busara, majadiliano ya kina, na masikilizano katika utatuzi wake. 

 Akitoa taarifa ya upimaji wa viwanja hivyo Mkurugenzi kutoka kampuni ya Afro Map Ltd iliyoendesha zoezi hilo la upimaji Ndg Fransis Mkwela amesema wamefanikiwa kupima maeneo ya wazi, maeneo ya shule ya Sekondari, maeneo ya viwanda vidogo vidogo, na maeneo ya nyumba za kuabuduia. 

 Maeneo mengine ni kituo cha polisi, maeneo ya Umma, eneo la kituo cha Afya,  eneo la zahanati na eneo la shule ya Msingi.

 Naye Mwenyekiti wa Mtaa wa Nyakasangwe Ndg Peter Belebela akimkaribisha Mkuu huyo wa Wilaya kwenye uzinduzi huo ameushukuru uongozi mzima kwa jitihada zilizofanyika kumaliza mgogoro huo na kuwataka wanachi wake kuheshimu zoezi hilo lá upimaji unaoendelea pamoja na miundo mbinu ya barabara na mipaka. 

 Mkutano huo umefanyika katika eneo la shule ya Msingi Nyakasangwe uliohusisha wananchi wa eneo hilo pamoja na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali. 

 Imeandaliwa na
 Kitengo cha Uhusiano na Habari .
 Manispaa ya Kinondoni.

Matangazo

  • TANGAZO LA BARAZA LA MADIWANI TAREHE 14/08/2019. August 13, 2019
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI SIKU YA JUMATANO TAREHE 22/05/2019. May 20, 2019
  • TAARIFA KWA UMMA October 16, 2019
  • TANGAZO October 16, 2019
  • Tazama zote

Habari mpya

  • TANGAZO KUHUSU VIBANDA VYA MWENGE

    February 22, 2021
  • KINONDONI YAENDESHA MAFUNZO YA USINDIKAJI WA MBOGAMBOGA NA MATUNDA

    February 19, 2021
  • TAARIFA KUHUSIANA NA WASTAAFU WANAOLIPWA NA HAZINA

    February 18, 2021
  • TAARIFA KWA UMMA-BARAZA LA MADIWANI

    February 12, 2021
  • Tazama zote

Picha Jongefu

TAMISEMI YAIPOGEZA KINONDONI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ilala Municipal website
  • Ubungo Municipal Council
  • Kigamboni Municipal
  • Temeke Municipal

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • eGoverment Agency
  • Manispaa ya Kinondoni yaongoza katika Makusanyo kufikia Dec.12,2017, 2017.
  • TUME YA UTUMISHI.Tangazo la nafasi za Kazi.

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Anuani zetu

    Dar es salaam, Tanzania

    Postal Address: P.O.BOX 31902 ,2Morogoro Road

    Namba za simu: +255 22 2170173

    Namba ya simu :

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Service

Hatimiliki