• Malalamiko |
    • Anuani zetu |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Municipal Profile
  • Utawala
    • Idara
      • Human Resources
      • AFYA NA USAFISHAJI
      • Urban planning and Land Development
      • KILIMO NA MIFUGO
      • Secondary Education
      • Pre and Primary Education
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na takwimu
      • Community Development
    • Vitengo
      • sheria
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Tehama
    • Kata
      • Kinondoni
      • Magomeni
      • Makumbusho
      • Mwananyamala
      • Kijitonyama
      • Wazo
      • Bunju
      • Mbezi juu
      • Ndugumbi
      • Msasani
      • Kawe
      • Mzimuni
      • Mabwepande
      • Tandale
      • Kigogo
      • Mikocheni
      • Hananasif
      • Kunduchi
      • Makongo
      • Mbweni
    • Muundo wa utawala
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Education
    • Afya
    • Maji naUsafishaji
    • entrepreneur and Soft Loan
    • Agricultural Consultancy
    • livestock keeping advice
    • Tax collection Centers
  • Madiwani
    • Baraza la madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyomalizika
  • Machapisho
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Miongozo
    • Fomu
    • Taarifa
    • Vipeperushi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya picha jongefu

RC MAKONDA KWA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI YA CHINA WAZINDUA UJENZI WA JENGO LA UTAWALA SEKONDARI YA MAKUMBUSHO LINALOTARAJIWA KUTUMIA TAKRIBANI MILIONI 100 HADI KUKAMILIKA KWAKE

Posted on: February 16th, 2018

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh Paul Makonda amezindua rasmi ujenzi wa jengo la utawala katika shule ya Sekondari Makumbusho linalofadhiliwa na China ikiwa ni muendelezo wa Majengo 402 ya utawala yanayotarajiwa kujengwa Mkoa wa Dar es salaam nje ya bajeti ya Serikali. 

 Uzinduzi huo umefanyika leo katika  shule ya sekondari  Makumbusho hafla iliyohudhuriwa na walimu wakuu wa Shule za sekondari,  wakuu wa idara na vitengo Manispaa ya Kinondoni ,Wazazi, pamoja na wanafunzi wa  Shule ya sekondari Makumbusho.

 Akiongea katika uzinduzi huo Mh Makonda amesema wakati umefika sasa wa Serikali kutambua thamani ya mwalimu kwa vitendo na uungwana kwa kuhakikisha wanapatiwa mazingira mazuri na ya kuridhisha kwani wao ndio nguzo kubwa ya mafanikio kuelekea uchumi wa viwanda. 

 "Tambueni thamani ya mwalimu inatokana na vitendo na uungwana, tunahangaikia moyo wa Uchumi wa watanzania " amebainisha Makonda 

 Naye balozi wa China nchini Tanzania Bibi Wang Ke amesema Kuwa Serikali ya China iko bega kwa bega katika kuunga mkono juhudi za serikali ya Tanzania za kuboresha mazingira ya waalimu .

 Kadhalika ameongeza kuwa China wanaamini katika kuwekeza kwenye Elimu kwani yaweza kubadilisha maisha ya watu na kuongeza wataalamu watakaoleta maendeleo nchini.

 Naye Mwalimu Mkuu wa Shule ya Makumbusho katika taarifa yake Bi Edna Ngeregeza ameainisha changamoto za shuleni hapo kuwa ni uhaba wa vyumba vya madarasa, upungufu wa waalimu wa masomo ya Sayansi na biashara pamoja na uzio wa shule. 

 Jengo hilo la utawala linatarajiwa kukamilika ndani ya miezi mitatu kuanzia Sasa na  litasaidia kupunguza tatizo la upungufu wa madarasa shuleni hapo kwani kwa hivi Sasa vyumba 4 vya madarasa vinatumika Kama ofisi za walimu.

 Imetolewa na
 Kitengo Cha Habari na Uhusiano
 Manispaa ya Kinondoni.

Matangazo

  • TANGAZO LA BARAZA LA MADIWANI TAREHE 14/08/2019. August 13, 2019
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI SIKU YA JUMATANO TAREHE 22/05/2019. May 20, 2019
  • TAARIFA KWA UMMA October 16, 2019
  • TANGAZO October 16, 2019
  • Tazama zote

Habari mpya

  • BARAZA LA MADIWANI KINONDONI LAPITISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO

    January 07, 2021
  • NI KINONDONI TENA UFAULU WA MATOKEO YA DARASA LA SABA 2020 MKOA WA DAR ES SALAAM

    December 24, 2020
  • NAIBU WAZIRI-OFISI YA WAZIRI MKUU ARIDHISHWA NA NAMNA KINONDONI INAVYOWEZESHA WANANCHI KIUCHUMI

    December 22, 2020
  • HOSPITALI YA SANITAS YAPEWA SIKU SABA KUKAMILISHA MALIMBIKIZO YA MISHAHARA YA WATUMISHI WAKE

    December 22, 2020
  • Tazama zote

Picha Jongefu

TAMISEMI YAIPOGEZA KINONDONI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ilala Municipal website
  • Ubungo Municipal Council
  • Kigamboni Municipal
  • Temeke Municipal

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • eGoverment Agency
  • Manispaa ya Kinondoni yaongoza katika Makusanyo kufikia Dec.12,2017, 2017.
  • TUME YA UTUMISHI.Tangazo la nafasi za Kazi.

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Anuani zetu

    Dar es salaam, Tanzania

    Postal Address: P.O.BOX 31902 ,2Morogoro Road

    Namba za simu: +255 22 2170173

    Namba ya simu :

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Service

Hatimiliki