• Malalamiko |
    • Anuani zetu |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Municipal Profile
  • Utawala
    • Idara
      • Human Resources
      • AFYA NA USAFISHAJI
      • Urban planning and Land Development
      • KILIMO NA MIFUGO
      • Secondary Education
      • Pre and Primary Education
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na takwimu
      • Community Development
    • Vitengo
      • sheria
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Tehama
    • Kata
      • Kinondoni
      • Magomeni
      • Makumbusho
      • Mwananyamala
      • Kijitonyama
      • Wazo
      • Bunju
      • Mbezi juu
      • Ndugumbi
      • Msasani
      • Kawe
      • Mzimuni
      • Mabwepande
      • Tandale
      • Kigogo
      • Mikocheni
      • Hananasif
      • Kunduchi
      • Makongo
      • Mbweni
    • Muundo wa utawala
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Education
    • Afya
    • Maji naUsafishaji
    • entrepreneur and Soft Loan
    • Agricultural Consultancy
    • livestock keeping advice
    • Tax collection Centers
  • Madiwani
    • Baraza la madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyomalizika
  • Machapisho
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Miongozo
    • Fomu
    • Taarifa
    • Vipeperushi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya picha jongefu

KINONDONI YATOA SEMINA ELEKEZI JUU YA MASWALA YA UZAZI WA MPANGO KWA KATA KUMI

Posted on: March 24th, 2018

 NI KWA KUSHIRIKIANA NA SHIRIKA LISILO LA KISERIKALI LA JHPIEGO CHINI YA MPANGO WA "TUPANGE PAMOJA" LENYE OFISI ZAKE MIKOCHENI. 

 Manispaa ya Kinondoni
  kwa kushirikiana na shirika lisilo la kiserikali la JHPIEGO chini ya mpango wa "Tupange pamoja"  wametoa semina elekezi kwa kata kumi kati ya kata ishirini za Manispaa hiyo,juu ya umuhimu wa njia sahihi za uzazi wa mpango,  walengwa wakiwa ni kinamama na wanawake wajawazito.

 Akiongea wakati wa zoezi hilo, mratibu wa huduma za afya ya uzazi Baba, Mama na mtoto kinondoni Bi Edith Mboga amesema wameamua kutoa elimu hiyo lengo ikiwa ni kuongeza uelewa wa matumizi ya njia hizi kwa wananchi ili waweze kupanga uzazi ulio bora na salama. 

 Akitoa takwimu za utumiaji wa njia hizo kwa Manispaa ya Kinondoni Bi Edith Mboga amesema kiwango kimeshuka kwani kitaifa inatakiwa kufikia asilimia 32, na kwa sasa kiwango kilichofikiwa cha matumizi hayo ni 11.4.

 Akifafanua hilo amesema  ndio maana wameamua kusogeza huduma hizi kwa karibu na wananchi ili waweze kupatiwa kwa usahihi, kwa wakati na kwa uelewa utakaomfanya mwananchi kuchagua njia ipi iliyobora zaidi. 

 Amezitaja njia hizo kuwa ni matumizi ya condom, sindano, vidonge, vijiti na vipandikizi. 

 Aidha huduma nyingine zinazotolewa katika semina hiyo ni pamoja na Upimaji wa hiari wa virusi vya UKIMWI, Upimaji wa saratani ya shingo ya kizazi, shinikizo la damu pamoja na chanjo kwa watoto chini ya miaka 5.

 Zoezi hilo la siku tatu katika kila Kata, limeanzia kata ya Hananasifu, na linatarajiwa kuendelea katika Kata ya Tandale, Mwananyamala, Kigogo, Wazo, Ndugumbi, Tegeta, Salasala, Bunju na Kawe. 

 Imeandaliwa na
 Kitengo Cha Habari na Uhusiano
 Manispaa ya Kinondoni.

Matangazo

  • TANGAZO LA BARAZA LA MADIWANI TAREHE 14/08/2019. August 13, 2019
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI SIKU YA JUMATANO TAREHE 22/05/2019. May 20, 2019
  • TAARIFA KWA UMMA October 16, 2019
  • TANGAZO October 16, 2019
  • Tazama zote

Habari mpya

  • TANGAZO KUHUSU VIBANDA VYA MWENGE

    February 22, 2021
  • KINONDONI YAENDESHA MAFUNZO YA USINDIKAJI WA MBOGAMBOGA NA MATUNDA

    February 19, 2021
  • TAARIFA KUHUSIANA NA WASTAAFU WANAOLIPWA NA HAZINA

    February 18, 2021
  • TAARIFA KWA UMMA-BARAZA LA MADIWANI

    February 12, 2021
  • Tazama zote

Picha Jongefu

TAMISEMI YAIPOGEZA KINONDONI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ilala Municipal website
  • Ubungo Municipal Council
  • Kigamboni Municipal
  • Temeke Municipal

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • eGoverment Agency
  • Manispaa ya Kinondoni yaongoza katika Makusanyo kufikia Dec.12,2017, 2017.
  • TUME YA UTUMISHI.Tangazo la nafasi za Kazi.

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Anuani zetu

    Dar es salaam, Tanzania

    Postal Address: P.O.BOX 31902 ,2Morogoro Road

    Namba za simu: +255 22 2170173

    Namba ya simu :

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Service

Hatimiliki