• Malalamiko |
    • Anuani zetu |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Municipal Profile
  • Utawala
    • Idara
      • Human Resources
      • AFYA NA USAFISHAJI
      • Urban planning and Land Development
      • KILIMO NA MIFUGO
      • Secondary Education
      • Pre and Primary Education
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na takwimu
      • Community Development
    • Vitengo
      • sheria
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Tehama
    • Kata
      • Kinondoni
      • Magomeni
      • Makumbusho
      • Mwananyamala
      • Kijitonyama
      • Wazo
      • Bunju
      • Mbezi juu
      • Ndugumbi
      • Msasani
      • Kawe
      • Mzimuni
      • Mabwepande
      • Tandale
      • Kigogo
      • Mikocheni
      • Hananasif
      • Kunduchi
      • Makongo
      • Mbweni
    • Muundo wa utawala
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Education
    • Afya
    • Maji naUsafishaji
    • entrepreneur and Soft Loan
    • Agricultural Consultancy
    • livestock keeping advice
    • Tax collection Centers
  • Madiwani
    • Baraza la madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyomalizika
  • Machapisho
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Miongozo
    • Fomu
    • Taarifa
    • Vipeperushi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya picha jongefu

KINONDONI YAITAMBULISHA RASMI TIMU YA KMC-FC KWA WANANCHI

Posted on: February 12th, 2018

 Hatimae timu ya mpira wa miguu ya KMC -FC yatambulishwa kwa wananchi kwa mara ya kwanza baada ya kuingia ligi kuu Tanzania bara kwa ushindi uliopatikana  kwa kuichapa JKT mlale bao moja bila. 

 Akiitambulisha timu hiyo katika sherehe zilizofanyika katika viwanja vya biafra Mstahiki Meya wa Manispaa hiyo Mh Benjamin Sitta amesema timu hii imepiga hatua kubwa inayohitaji pongezi na kuenziwa. 

 Ameongeza kuwa swala lililoko mbele sasa ni kuhakikisha kiwanja cha nyumbani kinapatikana kwa timu hii kuendelea kufanya mazoezi ili waweze kufanya vizuri katika michuano na timu nyingine. 

 Amebainisha kuwa lengo la Serikali ni kuhakikisha kunapatikana mfumo mzuri wa vijana kupatiwa maeneo ya kukuza vipaji  utakaowasaidia kufikia malengo yao. 

 Naye Mwenyekiti wa Timu Mh Suzan Massawe ambaye pia ni diwani wa Kata ya Mabwepande ameushukuru uongozi mzima wa Manispaa hiyo kwa kushirikiana bega kwa bega kuhakikisha timu inaibuka kidedea na kuingia ligi kuu Tanzania bara. 

 Utambulisho wa timu hiyo umeambatana na burudani mbalimbali kutoka kwa Clouds media group, na wasanii kama vile Madee na Roma mkatoliki. 

 Hii ni safari ya mafanikio ya timu ya KMC -FC,hivyo wananchi tujitokeze kuishangilia kila inapokuwa na mechi katika kuwatia moyo. 

 Imetolewa na
 Kitengo cha Uhusiano na Habari.
 Manispaa ya Kinondoni.

Matangazo

  • TANGAZO LA BARAZA LA MADIWANI TAREHE 14/08/2019. August 13, 2019
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI SIKU YA JUMATANO TAREHE 22/05/2019. May 20, 2019
  • TAARIFA KWA UMMA October 16, 2019
  • TANGAZO October 16, 2019
  • Tazama zote

Habari mpya

  • BARAZA LA MADIWANI KINONDONI LAPITISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO

    January 07, 2021
  • NI KINONDONI TENA UFAULU WA MATOKEO YA DARASA LA SABA 2020 MKOA WA DAR ES SALAAM

    December 24, 2020
  • NAIBU WAZIRI-OFISI YA WAZIRI MKUU ARIDHISHWA NA NAMNA KINONDONI INAVYOWEZESHA WANANCHI KIUCHUMI

    December 22, 2020
  • HOSPITALI YA SANITAS YAPEWA SIKU SABA KUKAMILISHA MALIMBIKIZO YA MISHAHARA YA WATUMISHI WAKE

    December 22, 2020
  • Tazama zote

Picha Jongefu

TAMISEMI YAIPOGEZA KINONDONI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ilala Municipal website
  • Ubungo Municipal Council
  • Kigamboni Municipal
  • Temeke Municipal

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • eGoverment Agency
  • Manispaa ya Kinondoni yaongoza katika Makusanyo kufikia Dec.12,2017, 2017.
  • TUME YA UTUMISHI.Tangazo la nafasi za Kazi.

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Anuani zetu

    Dar es salaam, Tanzania

    Postal Address: P.O.BOX 31902 ,2Morogoro Road

    Namba za simu: +255 22 2170173

    Namba ya simu :

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Service

Hatimiliki