KATA YA NDUGUMBI.
Kata ya Ndugumbi ilianza mwaka 2000. Asili ya Jina la Kata ni kutokana na Mzee maarufu aliyekuwa akiishi hapo na alitoa eneo kubwa kwa ajili ya maendeleo kama Shule, Makanisa na Msikiti.
IDADI YA MITAA KATIKA KATA.
Kata ya Ndugumbi inayo Mitaa minne ambayoni
Diwani wa Kata hii anaitwa Thadei Massawe.
HALI YA ELIMU KATIKA KATA
Hali ya Elimu Katika Kata ni ya wastani, hasa elimu ya Msingi. Aidha kunashule tatu ambazo ni
SHULE YA SEKONDARI.
Kata ya Ndugumbi inayo shule moja ya Sekondari inayoitwa Sekondari ya Turiani.
MAHUSIANO NA WADAU.
Hali ya Mahusiano na wadau katika kata ni ya kuridhisha kwani hushirikiana pamoja katika kuleta maendeleo .
MIRADI YA KUJIVUNIA KATIKA KATA.
Kata inayo miradi inayojivunia kwalo ambayo hutekelezwa kama ifuatavyo:-
HALI YA MAENDELEO YA WATU.
Katika Kata ya Ndugumbi, Mipangomiji ni ya wastani, lipo eneo la Bonde Mtaa wa Makanya Vigaeni.
Dar es salaam, Tanzania
Postal Address: P.O.BOX 31902 ,2Morogoro Road
Namba za simu: +255 22 2170173
Namba ya simu :
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz