• Malalamiko |
    • Anuani zetu |
    • Maswali ya Mara kwa mara |
    • Barua pepe |
Kinondoni Municipal Council
Kinondoni Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Municipal Profile
  • Utawala
    • Idara
      • Human Resources
      • AFYA NA USAFISHAJI
      • Urban planning and Land Development
      • KILIMO NA MIFUGO
      • Secondary Education
      • Pre and Primary Education
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na takwimu
      • Community Development
    • Vitengo
      • sheria
      • Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Tehama
    • Kata
      • Kinondoni
      • Magomeni
      • Makumbusho
      • Mwananyamala
      • Kijitonyama
      • Wazo
      • Bunju
      • Mbezi juu
      • Ndugumbi
      • Msasani
      • Kawe
      • Mzimuni
      • Mabwepande
      • Tandale
      • Kigogo
      • Mikocheni
      • Hananasif
      • Kunduchi
      • Makongo
      • Mbweni
    • Muundo wa utawala
  • Fursa za uwekezaji
  • Huduma zetu
    • Biashara
    • Education
    • Afya
    • Maji naUsafishaji
    • entrepreneur and Soft Loan
    • Agricultural Consultancy
    • livestock keeping advice
    • Tax collection Centers
  • Madiwani
    • Baraza la madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ratiba za vikao
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa kutekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyomalizika
  • Machapisho
    • Makala
    • Mpango mkakati
    • Miongozo
    • Fomu
    • Taarifa
    • Vipeperushi
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
  • Kituo cha Habari
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya picha jongefu

Kijitonyama

KATA YA KIJITONYAMA.

Kata ya Kijitonyama ilianza mwaka 2000, na Asili ya Jina lake ni mto ambao ulikua ukitumika kuoshea nyama baada ya kuchinjwa na mto huo ulikua umezungukwa na wanyama mbalimbali na hapo ndipo lilipotokea jina la  KIJITO CHA WANYAMA na hatimae KIJITONYAMA.

IDADI YA MITAA

Kata inajumla ya Mitaa nane kama ifuatavyo:-

1.    Mtaa wa Mpakani A

2.    Mtaa wa Mpakani B

3.    Mtaa wa Alimaua A

4.    Mtaa wa Alimaua B

5.    Mtaa wa Kijitonyama

6.    Mtaa wa Mwenge

7.    Mtaa wa Nzasa.

8.    Mtaa wa Bwawani.

Diwani wa Kata hii anaitwa  Juma UloleUlole.

HALI YA ELIMU.

Kata inajumla ya shule tano za Msingi na moja ya Sekondari  ambazo zote ni za Serikali, na kiwango cha ufaulu wa wanafunzi katika shule zote hizo ni cha kuridhisha.

HALI YA AFYA.

Kata inajumla ya zahanati mbili za Serikali ambazo hutoa huduma kwa wakazi wa Mitaa yote Nane.Kwa Ujumla hali ya Afya hasa upatikanaji wa Huduma za Afya ni mzuri, kwani pamoja na vituo hivyo viwili bado Kata iko jirani kabisa na Hospital ya Sinza Palestina pamoja na Hospitali  ya Mwananyamala ambapo wananchi wanaweza kuonana na madaktari bingwa na kupatiwa huduma wanayostahili.

MIUNDOMBINU  YA  BARABARA NA MIFEREJI.

80% ya barabara za Kata ya Kijitonyama ni za vumbi.

HALIYA  USAFI WA MAZINGIRA.

Kata inao utaratibu mzuri wa kudhibiti taka ngumu  zinazozalishwa majumbani pamoja na maeneo ya biashara, ambapo Katika Kila mtaa Kunamkandarasi  anaezoa taka na kuzifikisha dampo.

MAHUSIANO NA WADAU MBALIMBALI.

Wakazi wa Kijitonyama kwa ujumla wao wamekuwa wakitoa ushirikiano mkubwa katika kuchangia shughuli mbalimbali za maendeleo.

HALI YA MAENDELEO YA WATU NA MAKAZI.

Hali ya maendeleo ya watu na makazi ni nzuri, na hii imechangiwa na kuwepo na makampuni  pamoja na taasisi, hali iliyoongeza mwingiliano wa watu na biashara kukua  zaidi.



Matangazo

  • TANGAZO LA BARAZA LA MADIWANI TAREHE 14/08/2019. August 13, 2019
  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI SIKU YA JUMATANO TAREHE 22/05/2019. May 20, 2019
  • TAARIFA KWA UMMA October 16, 2019
  • TANGAZO October 16, 2019
  • Tazama zote

Habari mpya

  • BARAZA LA MADIWANI KINONDONI LAPITISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO

    January 07, 2021
  • NI KINONDONI TENA UFAULU WA MATOKEO YA DARASA LA SABA 2020 MKOA WA DAR ES SALAAM

    December 24, 2020
  • NAIBU WAZIRI-OFISI YA WAZIRI MKUU ARIDHISHWA NA NAMNA KINONDONI INAVYOWEZESHA WANANCHI KIUCHUMI

    December 22, 2020
  • HOSPITALI YA SANITAS YAPEWA SIKU SABA KUKAMILISHA MALIMBIKIZO YA MISHAHARA YA WATUMISHI WAKE

    December 22, 2020
  • Tazama zote

Picha Jongefu

TAMISEMI YAIPOGEZA KINONDONI
video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Ilala Municipal website
  • Ubungo Municipal Council
  • Kigamboni Municipal
  • Temeke Municipal

Viunganishi Linganifu

  • TAMISEMI
  • eGoverment Agency
  • Manispaa ya Kinondoni yaongoza katika Makusanyo kufikia Dec.12,2017, 2017.
  • TUME YA UTUMISHI.Tangazo la nafasi za Kazi.

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Anuani zetu

    Dar es salaam, Tanzania

    Postal Address: P.O.BOX 31902 ,2Morogoro Road

    Namba za simu: +255 22 2170173

    Namba ya simu :

    Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali ya Mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Service

Hatimiliki