Mstahiki Meya Manispaa ya Kinondoni anaitwa Mh. Benjamini Kawe Sitta.
Ifahamike wazi kuwa kila mwananchi anayo haki ya Kusikilizwa na kupatiwa majibu ya swala lake na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni. Hivyo upo utaratibu wa kuona wananchi na kuwasikiliza kwa sikumbili kila wiki.
Ili uweze kumuona Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni unatakiwa ufike ofisi za Manispaa zilizoko mkabala na Kituo cha Afya cha Magomeni barabara ya Kawawa na Morogoro siku ya JUMATATU NA ALHAMISI kuanizia saa 3:00 Asubuhi mpaka saa 8:00 Mchana.
Dar es salaam, Tanzania
Postal Address: P.O.BOX 31902 ,2Morogoro Road
Namba za simu: +255 22 2170173
Namba ya simu :
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz