Nawezaje kupata huduma kwa Watumishi wa Umma kupitia Utumishi Portal?
FUATA UTARATIBU UFUATAO;
1. Fungua link ya Utumishi Portal ambayo ni http://watumishiportal.utumishi.go.tz
JISAJILI KWA KUFUATA HATUA ZIFUATAZO:
2. Andika majina yako kamili ambayo yapo kwenye ‘salary slip’
3. Jaza barua pepe unayotumia (e-mail) na kama hauna barua pepe na unahitaji msaada wa kuipata, tafadhali fika Ofisi ya IT-Makao kwa msaada zaidi.
4. Andika neno lako la siri
5. Thibitisha
6. Jisajili
Dar es salaam, Tanzania
Postal Address: P.O.BOX 31902 ,2Morogoro Road
Namba za simu: +255 22 2170173
Namba ya simu :
Barua pepe: md@kinondonimc.go.tz